UBUNGO, DAR: Machinga wapewa siku 3 waondoke

UBUNGO, DAR: Machinga wapewa siku 3 waondoke

TUNAWAOMBA WAPISHE TU HUU UJENZI, SHIDA YA FOLENI INALETA STRESS
 
Huwa najaribu sana kuwaza......
Kwa jinsi serikali inavyo wa disturb wakazi wa Daslam......
What if wakiamua kuhama jiji na kuelekea kwenye mikoa mingine isiyo na bugudha.....
Hapa nawaza tu
mawazo yako yanakutosha kukumbusha kula tu,
acha viuchochezi hivi vya kijnga yaani kipi bora kati ya kuwaacha wamachinga kufanya biashara isiyo rasmi pembeni ya barabara na kujenga flyover itakayoleta urahisi wa msongamano wa magari jijini dar na kuruhusu shughuri zingine kwenda kwa wakati ikiwemo pia kuwapunguzia gharama za usafirishaji wakazi wa dsm?

aliyekutuma anaweza pia kukutuma uniwekee sumu kwenye nywele ili zinyonyoke kama......

shame on people like ur type

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahitaji hapa mwanasheria anaye jua sheria za serikali za mitaa atusaidie hapa,elewa kuwa JIJI litalazimika kuwapa alternative place kwa hawa wafanyabiashara ili haki yao ya kikatiba ya kujitafutia riziki isiminywe,hawa wafanyabiashara wamekuwepo pale kwa muda mrefu bila ya jiji kuchukua hatua zozote,pili kutokana na mipango mibovu ya jiji ndio iliyopelekea maeneo yote ya wazi yaliyotengwa kwa maendeleo ya jiji,public areas kwa wanajiji kutumia yamemezwa yote na sasa wanatumia nguvu wakati makosa ni yao,huwezi kuhamisha watu bila kujua utawapeleka wapi.
 
Mimi sioni kama Kuna Tatizo hapa, For safety reason hawatakiwi kufanya biashara katika eneo hilo wakati ujenzi unaendelea.

Ningeomba serikali kama kuna uwezekano iwatafutie sehemu mbadala wa kufanya biashara zao, Japo hili ni changamoto kwasababu wafanya biashara hao wanafanya biashara katika eneo hili kwasababu ya uwepo wa wingi wa watu.

Maendeleo yana gharama zake, kwa hili tuvumiliane

watanzania tufike mahali tuangalie mambo kwa macho matatu, binafsi naichukia sana ccm tena sana jwahiyo nimejikuta naichukia pamoja na serikali yake lakini kwa hii hatua ya kujenga fly overs napenda kuipongeza sana serikali yetu ni nchi chache sana ukanda huu wa Africa zimefikia hatua hii.

Asante sana wahusika ila muangalie kama kua uwezekano wa kuwasaidia hao mnaowaondoa kwenye maeneo hayo. yawezakuwa ndio njia pekee wanajipatia kipato.

Walishaondolewa eneo hilo tangu 2014/2015 kwa kigezo cha kusababisha foleni pia ni hatari kwa afya zao ukizingatia uwepo wa msongo mkubwa wa umeme eneo hilo wakaambiwa wahamie Mawasiliano stendi kuna soko mule ndani. Cha ajabu soko ndani lipo tupu na wamachinga wamejipanga barabarani mawasiliano na wengine ndio hao wamerudi ubungo
 
kwahiyo tusijenge barabara?
au tujenge wakiwa barabarani- vipi usalama wao?,watapata wateja kweli?
Swali langu ni in a positive way sio negative....ni wangapi na watakwenda wapi?
 
Vijana nchi hii sijui wamekosea nini, wanachukuliwa kama MAJAMBAZI ?

- Waliosoma hawapewi ajira ?
- Wakiwa machinga wanafukuzwa kila leo na polisi ?
- Wakifanya biashara zao ziwe rasmi hawapewi TAX HOLIDAY wala GRACE PERIOD. Hata kabla ya faida wanakabwa na TRA, TFDA, NEMC, OSHA, FIRE, BRELA, COSOTA etc

- Hivi vijana wa nchi hii WAISHI Vipi ?

Wajiongeze. Akili zako changanya na za kuambiwa. Kwa hiyo flayover zisijengwe? Tunaishi kwenye dunia ya man eat man! Hakuna kuoneana huruma.

Tatizo waTanzania tunaweka siasa kwenye kila kitu. Na hii ni kwetu sote wananchi na hao viongozi tunaowachagua!
 
Tunahitaji hapa mwanasheria anaye jua sheria za serikali za mitaa atusaidie hapa,elewa kuwa JIJI litalazimika kuwapa alternative place kwa hawa wafanyabiashara ili haki yao ya kikatiba ya kujitafutia riziki isiminywe,hawa wafanyabiashara wamekuwepo pale kwa muda mrefu bila ya jiji kuchukua hatua zozote,pili kutokana na mipango mibovu ya jiji ndio iliyopelekea maeneo yote ya wazi yaliyotengwa kwa maendeleo ya jiji,public areas kwa wanajiji kutumia yamemezwa yote na sasa wanatumia nguvu wakati makosa ni yao,huwezi kuhamisha watu bila kujua utawapeleka wapi.
umenichekesha,
ni mjinga tu anayefikiri kuwa kuna uhalali wa wamachinga kuwepo barabarani
 
Wajiongeze. Akili zako changanya na za kuambiwa. Kwa hiyo flavor zisijengwe? Tunaishi kwenye dunia ya man eat man! Hakuna kuoneana huruma.

Tatizo waTanzania tunaweka siasa kwenye kila kitu. Na hii ni kwetu sote wananchi na hao viongozi tunaowachagua!
Kujiongeza ndio kufanyaje ?
- Jambo la msingi ni kwamba Hao VIONGOZI wasio na MAONO wanataka VIJANA wa taifa hili wafanyeje ??
- Wawe MANAMBA kwenye viwanda vya WAHINDI vya BUKU TATU kwa kwa saa 24 ?
- Au wafanyeje ili waonekane wanajiongeza ?
 
Mimi huwa nashangaa hivi kweli kwa ardhi yote ilivyokubwa tanzania tumeshindwa kuplan na hawa wafanyabiashara wakawa na maeneo rasmi!? Hivi ni laana gani imetushika! Pita kariakoo barabara zote masoko! Ukipaki gari katikati ya nyanya unaambiwa wrong packing! Viongozi wajibikeni tuone mji wetu unapendeza angalau kidogo! Kuweka watu kiholela sio ya kuwa kiongozi utapendwa!!
 
Vp wale watetea ujinga huku sijawaskia wakiilaumu serikali kwa kuwandoa wamachinga sehemu wanapopatia riziki au hawajaamka bado????maana hukawii kumuona mtu hapa povu linamtoka kwa nn wameondolewa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wafanyabiashara wote wawe center moja katikati ya mji? Hao wanunuzi ni watu wanaoishi nje ya mji, wawafate huko.
mimi naona ni sahihi. Sio kila kitu tulalamike.
Huwezi kuwaweka watu kiholela na ukategemea kukusanya kodi kwa uhalisia! Planning inawezesha kukusanya kodi kiuhalisia! Hata nyumbani kwako unaweza kutupa vitu hovyo hovyo? That's mean of planning
 
Vijana nchi hii sijui wamekosea nini, wanachukuliwa kama MAJAMBAZI ?

- Waliosoma hawapewi ajira ?
- Wakiwa machinga wanafukuzwa kila leo na polisi ?
- Wakifanya biashara zao ziwe rasmi hawapewi TAX HOLIDAY wala GRACE PERIOD. Hata kabla ya faida wanakabwa na TRA, TFDA, NEMC, OSHA, FIRE, BRELA, COSOTA etc

- Hivi vijana wa nchi hii WAISHI Vipi ?
Nini maoni kuhusu kuondolewa ubungo,au wee ulitakaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana nchi hii sijui wamekosea nini, wanachukuliwa kama MAJAMBAZI ?

- Waliosoma hawapewi ajira ?
- Wakiwa machinga wanafukuzwa kila leo na polisi ?
- Wakifanya biashara zao ziwe rasmi hawapewi TAX HOLIDAY wala GRACE PERIOD. Hata kabla ya faida wanakabwa na TRA, TFDA, NEMC, OSHA, FIRE, BRELA, COSOTA etc

- Hivi vijana wa nchi hii WAISHI Vipi ?
kwahiyo unapinga maendeleo , means hutaki barabara ijengwe ...
 
Back
Top Bottom