Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,085
- 110,793
Hapana
Hapana
Bora umesema wewe, mimi biashara nishafunga najiandaa kulikimbia jijiVijana nchi hii sijui wamekosea nini, wanachukuliwa kama MAJAMBAZI ?
- Waliosoma hawapewi ajira ?
- Wakiwa machinga wanafukuzwa kila leo na polisi ?
- Wakifanya biashara zao ziwe rasmi hawapewi TAX HOLIDAY wala GRACE PERIOD. Hata kabla ya faida wanakabwa na TRA, TFDA, NEMC, OSHA, FIRE, BRELA, COSOTA etc
- Hivi vijana wa nchi hii WAISHI Vipi ?
alternative ipi? yaani watafutiwe pembeni ya barabara ingine?Tunahitaji hapa mwanasheria anaye jua sheria za serikali za mitaa atusaidie hapa,elewa kuwa JIJI litalazimika kuwapa alternative place kwa hawa wafanyabiashara ili haki yao ya kikatiba ya kujitafutia riziki isiminywe,hawa wafanyabiashara wamekuwepo pale kwa muda mrefu bila ya jiji kuchukua hatua zozote,pili kutokana na mipango mibovu ya jiji ndio iliyopelekea maeneo yote ya wazi yaliyotengwa kwa maendeleo ya jiji,public areas kwa wanajiji kutumia yamemezwa yote na sasa wanatumia nguvu wakati makosa ni yao,huwezi kuhamisha watu bila kujua utawapeleka wapi.
Tuishi kama mashetnVijana nchi hii sijui wamekosea nini, wanachukuliwa kama MAJAMBAZI ?
- Waliosoma hawapewi ajira ?
- Wakiwa machinga wanafukuzwa kila leo na polisi ?
- Wakifanya biashara zao ziwe rasmi hawapewi TAX HOLIDAY wala GRACE PERIOD. Hata kabla ya faida wanakabwa na TRA, TFDA, NEMC, OSHA, FIRE, BRELA, COSOTA etc
- Hivi vijana wa nchi hii WAISHI Vipi ?
Daslama mjiandae kwa wizi na roba za mbao/misumari
Wanawakomaza akili na maamuz magumuHuwa najaribu sana kuwaza......
Kwa jinsi serikali inavyo wa disturb wakazi wa Daslam......
What if wakiamua kuhama jiji na kuelekea kwenye mikoa mingine isiyo na bugudha.....
Hapa nawaza tu
Mkuu...Wanawakomaza akili na maamuz magumu
hapana mie sio mkaazi wa Ubungo na yule meya ni mtanzania kwa hiyo sikuelewi unaposema meya wenu;always tumekuwa watu tunaoangalia tunapodondokea sio tulipojikwaa,jiji lini sheria zake ambazo ni wajibu wake kuzisimamia,sasa wale machinga mpaka wanafungua biashara pale,jiji lilikuwa wapi?huoni hapa kuna uzembe upande wao ?but as usual mnyonge ndio wa kuonewa baada ya jiji kuwajibika kwa kutotekeza na kusimamia sharia zake dawa ni kuwatimua machinga;biashara na barabara zikiwa zimetelekezwa kwa kisheria zinaweza co-exits tembea majiji mengine yanayofuata sheriaalternative ipi? yaani watafutiwe pembeni ya barabara ingine?
kifungu kipi cha katiba kinachohalalisha kufanya biashara kwenye njia za waenda kwa miguu pembeni ya barabara kuu?
acheni upotoshaji huu wa kiajabu ajabu acheni nchi itengenezwe.
pale ubungo jana hata meya wenu alikuwepo na suala hili ni shirikishi kwa stakeholders wote yaani machinga,jiji,na pia mkandarasi husika
Sent using Jamii Forums mobile app
na ni mjinga tu mtu anayefikiria kuwa mpaka wale machinga wanaanzisha biashara pale still jiji lilikuwa limelala,wakati sharia zake zikivunjwa.umenichekesha,
ni mjinga tu anayefikiri kuwa kuna uhalali wa wamachinga kuwepo barabarani
suala hapa sio uhalali au uharamu wa machinga pale ubungo bali ni kupisha mradi mkubwa wa ujenzi wa flyover pale ubungo sasa wewe ume quote vibaya,au ulitaka wajengewe zege wawe kama nguzo?hapana mie sio mkaazi wa Ubungo na yule meya ni mtanzania kwa hiyo sikuelewi unaposema meya wenu;always tumekuwa watu tunaoangalia tunapodondokea sio tulipojikwaa,jiji lini sheria zake ambazo ni wajibu wake kuzisimamia,sasa wale machinga mpaka wanafungua biashara pale,jiji lilikuwa wapi?huoni hapa kuna uzembe upande wao ?but as usual mnyonge ndio wa kuonewa baada ya jiji kuwajibika kwa kutotekeza na kusimamia sharia zake dawa ni kuwatimua machinga;biashara na barabara zikiwa zimetelekezwa kwa kisheria zinaweza co-exits tembea majiji mengine yanayofuata sheria
Mbinu ya kisiasa hapoooooMkuu...
Nimejaribu kufikiria nje ya box
flyover REAL????suala hapa sio uhalali au uharamu wa machinga pale ubungo bali ni kupisha mradi mkubwa wa ujenzi wa flyover pale ubungo sasa wewe ume quote vibaya,au ulitaka wajengewe zege wawe kama nguzo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko unakokimbilia kuna SERA na VIONGOZI tofauti ?Bora umesema wewe, mimi biashara nishafunga najiandaa kulikimbia jiji
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali iwe na mkakati wa kuwakuza vijana wabunifu na wanaothubutu ili waajiri vijana wenzao kwa:
Na inabidi kuwe na sera endelevu na suala la wamachinga liwe ni start ups ya kufungua biashara halali na kuchangia kodi kwa maendeleo ya taifa! Mtu hawezi kuwa mmachinga over five years! Ina Maana hana faida kwa taifa lakeSerikali iwe na mkakati wa kuwakuza vijana wabunifu na wanaothubutu ili waajiri vijana wenzao kwa:
- Kufuta Ada za Usajili wa MAKAMPUNI na TRADEMARKS au kuweka AFFORDABLE CHARGES ili kupunguza tatizo la MACHINGA.
- Kuwapa GRACE PERIODS na TAX HOLIDAY Vijana kwenye START UPS zao hata kwa miaka 5 baada ya kuanza kupata FAIDA
- Ndani ya mikoa au HALMASHAURI kuwe na maeneo ya START UPS ili wale vijana wanaotaka kujaribu mawazo yao mapya waende huko na kama kutakuwa na FUNDS zote labda toka HALMASHAURI au PRIVATE SPONSORS wapelekwe huko. Naamini likifanyika hili litapunguza hata UTITIRI WA MACHINGA Mitaani
Vp wale watetea ujinga huku sijawaskia wakiilaumu serikali kwa kuwandoa wamachinga sehemu wanapopatia riziki au hawajaamka bado????maana hukawii kumuona mtu hapa povu linamtoka kwa nn wameondolewa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekula, Umeshiba. Bonga uwezavyo!Subiri wanakuja. waTanzania sisi ni wavivu wa kufikiri. It is a shame kwamba mpaka leo kuna mtu anaweza akasimama kabisa akasema eti Machinga wanaonewa.....simply kwa sababu wameondolewa barabarani! Karne hii kweli unaweza kumtetea mtu afanye biashara barabarani?