king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,151
Hv Bdo Mna Ndoto Za Kumpgia Kampeni Hyu Jamaa,,, Hata Mumpgie Kura Tz Nzima Hawez Kupita ,,safi sana waisome namba, hizi kura za ukawa. 2020 lowasa
Hv Bdo Mna Ndoto Za Kumpgia Kampeni Hyu Jamaa,,, Hata Mumpgie Kura Tz Nzima Hawez Kupita ,,safi sana waisome namba, hizi kura za ukawa. 2020 lowasa
Umekula, Umeshiba. Bonga uwezavyo!
Unajua nia ya baadhi ya watu ni kuona serikali inashindwa kwa kila jambo ili wananchi waone ccm haifai bali chadema ndio inafaa lakini kwa maoni yangu mimi hata kama ccm haifai kama wao wanavyotaka kutuaminisha ni bora kitafutwe chama kingine cha siasa na si hilo kundi la wahuni,chama kikuu cha upinzani kwa miaka zaidi ya ishirini mna ruzuku kubwa tu mnashindwa kujenga hata chumba kimoja cha ofisi??alafu wafuasi wao hata hawawezi kuona hilo hata kidogo kweli?Subiri wanakuja. waTanzania sisi ni wavivu wa kufikiri. It is a shame kwamba mpaka leo kuna mtu anaweza akasimama kabisa akasema eti Machinga wanaonewa.....simply kwa sababu wameondolewa barabarani! Karne hii kweli unaweza kumtetea mtu afanye biashara barabarani?
Sijakujibu. Nimejibu andiko lako. Anyway don't take personalNdugu yangu mbona una-ni attack? Usimjibu hovyo mtu usiyemjua. Humu tunajuana virtually. Changamoto nilizozipitia kupata nilichonacho huzijui. na mimi zako sizijui. Sasa kuniambia eti nimeshiba..it is sarcastic! Hata kama mtu hukubaliani naye au unaona hoja yake haina nguvu....usimjibu. Ukiamua kumjibu fanya hivyo kwa busara. It costs you nothing.
An eye for an eye...will make the world blind.
Na je ni sehemu sahihi kwa wao kuwepo eneo hilo ukiacha tu ujenzi wa barabara?Bila kuwaondoa hapo ujenzi wa flyover utawezekana vipi?
Kama taarifa wanazo haina budi wapishe mradi ufanyike.Walishapewa taarifa mapema kuhama sehemu hiyo kilichofanyika Leo ni Meya kwenda kufanya ustaarabu kuwakumbusha jukumu lao la kuhama kabla ya kuondolewa kwa nguvu.....
Hakuna mtu anayeonewa kwenye sakata la hapo ubungo maana toka mwaka Jana taarifa za ujenzi huo walikua nayo...
Sehemu sahihi kwao ni ipi ?Na je ni sehemu sahihi kwa wao kuwepo eneo hilo ukiacha tu ujenzi wa barabara?
latest edition
Si sehemu sahihi, na walitakiwa kuondoka bila kubembelezwaNa je ni sehemu sahihi kwa wao kuwepo eneo hilo ukiacha tu ujenzi wa barabara?
latest edition
na mjinga tu anxyefikiri kuwa sasa hawatakiwi kubughudhiwa forever ama wapewe mbadala na waridhiena ni mjinga tu mtu anayefikiria kuwa mpaka wale machinga wanaanzisha biashara pale still jiji lilikuwa limelala,wakati sharia zake zikivunjwa.
well said muungwana watu wengine humu wamekuwa kama wametumwa kupinga tuuuu.Ndugu yangu mbona una-ni attack? Usimjibu hovyo mtu usiyemjua. Humu tunajuana virtually. Changamoto nilizozipitia kupata nilichonacho huzijui. na mimi zako sizijui. Sasa kuniambia eti nimeshiba..it is sarcastic! Hata kama mtu hukubaliani naye au unaona hoja yake haina nguvu....usimjibu. Ukiamua kumjibu fanya hivyo kwa busara. It costs you nothing.
An eye for an eye...will make the world blind.
Tatizo letu watanzania hatutaki kufikiri zaidi.Hili group ni potential sana kwa mapato ya nchi.Ukiwatafutia mahali wakasajiliwa watalipa ushuru na mapato ktk municipal husika yataongezeka.Na mzunguko wa pesa hautapotea.
Tumezidi kulialia ndugu yangu. Its too much sasa. Ni kweli wanapatia riziki pale lakini mradi ni muhimu zaidi. Hao wamachinga waelewe tu hilo na watafute namna nyingine.Bila kuwaondoa hapo ujenzi wa flyover utawezekana vipi?