Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,086
ATCL na nyinginezoPrecision au..?!
ATCL na nyinginezoPrecision au..?!
ATCL na nyinginezo
waTZ bana tuna laana!! Babu yetu Nyerere aliharibu ubongo wetu, tumezaliwa, kukua na sasa tunazeeka tukiamini kuna baadhi ya vitu wazungu tu ndo wanatakiwa wawe navyo/watumie!!!
Yaani mmeanza kuwabeza hao jmaaa waliowaletea "low cost airline services" nyie mnaanza kufananisha na mambo yenu mloyazoea!! Duh...
Kuna watu wakiona hivi wanaumia sana
Acha maneno yako nani kakwambia kuna kubanana