Ubungo bus terminal...

Fast jet ni usafiri wa walal hoi wewe usotaka kubanwa kapande huo wa kutanua miguu
 
waTZ bana tuna laana!! Babu yetu Nyerere aliharibu ubongo wetu, tumezaliwa, kukua na sasa tunazeeka tukiamini kuna baadhi ya vitu wazungu tu ndo wanatakiwa wawe navyo/watumie!!!

Yaani mmeanza kuwabeza hao jmaaa waliowaletea "low cost airline services" nyie mnaanza kufananisha na mambo yenu mloyazoea!! Duh...

Nyunyu, hasikwambie mtu hawa jamaa kama hawata hujumiwa yaani wako vizuri mno! Ndege zao kubwa, ni safi, na wanaenda na muda! precision air wajiandae kwa anguko la kibiashara.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom