Basi la kwanza la Dar - Mbeya linaondoka Saa ngapi hapo Magufuli bus terminal?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Kijana wangu anahitaji kusafiri na bus ya kwanza ya Mbeya ili ashuke Mafinga kabla ya saa 9 alasiri

Msaada tafadhali!
 
Kama destination ni kushuka mafinga sio lazima apande mabasi ya Mbeya tuu, kuna mabasi ya kwenda Njombe kama ABC au Njombe Express na mengineyo yanatoka Dar saa kuanzia 9 usiku mafinga atashuka mapema mchanaa kabisa. Pia kuna mabasi ya kwenda Songea.

Ila kama chaguo lako ni ya kwenda Mbeya pekee ngoja wataalamu waje
 
Back
Top Bottom