chula migingo
Member
- Mar 4, 2015
- 18
- 6
Hakuna huduma ya msingi inayopatikana katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani (UBT) ila unapotaka kujisaidia 'answer the call of nature' uchochoroni ndipo utakapo kumbana na adha ya polisi jamii wakiomba rushwa kwa uchafuzi wa mazingira.
Hii ni sawa kweli kukusanya mia mbilimbili and yet mnashindwa kujenga hata choo cha kulipia?
Hii ni sawa kweli kukusanya mia mbilimbili and yet mnashindwa kujenga hata choo cha kulipia?