Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

Alikuwa afisa mzingo gawa kwa pai...!!
Kwa hiyo mission nyingine bado inaendelea!!
 
Amethibitishwa na
1. Rais mwenyewe

2. Mahakama

3. Amelipishwa na fine

Cha ajabu ndiye mgombea ubunge ndani ya ccm


Ccm chama cha mafisadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom