Elections 2010 Ubunge jimbo la Hai

Yote katika yote atakayeshindana na mwenyekiti wangu awe tayari kushindwa hata kabla ya uchaguzi.
Tunahitaji kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni. Hivyo asijisumbue kwa sababu safari hii tunalinda kura zetu kwa d**u yetu wenyewe, wizi hakuna!
[/QUOTE

mkuu hiyo system ya ulinzi ndo ipoje, , , , , , ,
 
Kuna Chrispher Mushi fulani mtu wa Machame alisoma Ilboru, kama ni huyu, basi Mbowe ana kibarua kigumu mbele yake, Jamaas hawa ndio wenye Meru Farmacy za AR na MS. Ni debeter mzuri sana na alifanya kazi UNDP.

Kwani ukiwa na Pharmacy ndo nini?au kufanya kazi UNDP ndo kigezo???swali sio kuwa debeter swala ni nini utafanya kwa wananchi..simple
 
Yote katika yote atakayeshindana na mwenyekiti wangu awe tayari kushindwa hata kabla ya uchaguzi.
Tunahitaji kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni. Hivyo asijisumbue kwa sababu safari hii tunalinda kura zetu kwa d**u yetu wenyewe, wizi hakuna!
[/QUOTE

mkuu hiyo system ya ulinzi ndo ipoje, , , , , , ,
ntakuwepo kulinda kura zetu..hatukubali sarakasi za biharamulo na busanda mwaka huu...hahaaaaa
 
Mimi siyo CCM ni Chadema damu damu, ukweli ni kwamba endapo CCM itamteua Bw. Christopher kupambana na Mbowe,Mbowe atakuwa na kazi kubwa sana maana kila mmoja wao ana sifa na ushawishi kwa wakazi wa wilaya ya Hai,wote ni wachangiaji wazuri sana kwenye shughuli za maendeleo kwenye wilaya ya hai.kwa jinsi navyo wajua wakazi wa Hai ni warahisi sana kurubunika kwa vijicent vitakavyo mwagwa na Bw.Mushi maana ana support kubwa ya watu pale hasa wafanya biashara wa kubwa...

Bw. Mbowe ana kazi ngumu sana maana mara baada ya kupata ubunge kwenye jimbo la Hai hakuweza kutekeleza ahadi zake alizotowa wa wananchi na pia hana ushawishi kwa wananchi wa Hai kama ilivyo kuwa mwanzo na hivyo kujiweka katika wakati mgumu,Mbowe ushawishi wake umebaki kwa wakazi kwa kijiji anachotoka cha Nshara.....

Wakuu msijisumbue kwenda kulinda kura maana Mbowe atapata 30%
 
Wewe ni mwanachama wa CCM damu damu, bwana Awinia Hana ushawaishi wowote kwa maana watu wengi hawamjui.Nimepita maeneo mengi ya Hai watu wengi wana kiu ya Mbowe kurudi kwani mwaka 2005 waliiamini CCM ila matokeo yake CCM haikufanya lolote la kuwashawishi wananchi. Kwa taarifa yako Hai na Moshi mjini ni kati ya majimbo machache ambayo CCM wamekata nayo tamaa.
 
Christopher Mushi ni kijana safi.
Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda.
watu hawapendi maadili ya mbowe.
 
attachment.php
 
Wewe umepita. Mimi ni mzaliwa wa Hai hivyo huwezi kunishawishi ni kubaliane na maneno yako ya siyo na hata chembe ya ukweli.
Narudia tena Mimi ni Chadema damu damu, Mbowe hakubalik hai kama mnavyo dhania ana kibarua kigumu sana, nisingependa kuweka kila kitu hapa kwani mda bado na huyo Christopher bado hatateuliwa hivyo tusubiri kila kitu kitakuwa wazi ndio mtanielewa kwa nini na sema hivi.
 
Christopher Mushi ni kijana safi.
Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda.
watu hawapendi maadili ya mbowe.

Ekha mekuu wewe umenena, watu wanaongea tu kwa kuwa hawajui watu wa hai wako vipi. Mnakumbuka mwaka 1995 Mbowe alivyo jitokeza kwa mara ya kwanza? kwa mkazi yoyote wa hai ali amini kuwa Mbowe ange shinda lakini haikuwa hivyo matokeo yake CCM ikaibuka kidedea tena kwa kishindo. Baada ya mwaka 2000 kuchanguliwa hakufanya kile wananchi wengi walichotegemea na na mwishoe mwaka 2005 akajitosa kwenye urais na kuacha jimbo kuchukuliwa na Fuya Kimbita .
 
Unatudanganya.mwaka 1995 CCM haikushinda.aliyeshinda ni mzee Mwinyi Hamis kupitia NCCR ambaye kwa sasa ni marehemu. CCM wana wakati mgumu sana kulinyakua tena jimbo la hai baada ya kuchemsha kwa miaka mitano. Mbowe ni mengi sana aliyoyafanya Hai. Mfano tu ni ujunzi wa madarasa, kupeleka huduma muhimu ktk mahospitali mfano kisiki, kibongoto, machame hosp. alipeleka vitanda . hivyo ni baadhi ya alivyovifanya.
 
Kwenye Swala la kutoa huduma kwa jamii,Christopher kachangia shule ya msingi ya Kisereni na sasa imebadilishwa ina majengo ya kisasa, kachangia shule
ya secondary ya Kimbushi High schoool na hospitali ya Nkweshoo na sasa ana Jenga daraja la mto Mwanga ambalo kwa miaka mingi sana limekuwa halipitiki kwa njia ya gari hivyo kufanya wana kijiji kupata taabu sana ya usafiri na mambo mengine mengi tu aliyo changia.
Kumbuka michango yao siyo kigezo cha wao kuchanguliwa, kwa sababu hizo fedha wanazo changia zinatoka mifukoni mwao na wakipata huo ubunge cha kwanza kufanya ni kurudisha fedha zao walizotowa.
 
Kwa nini asaidie Nkuu tu? kwasadala,masama, rundugai, nkweshoo.nronga, narumu, kimashuku, mailisita n.k hakuitaji kusaidiwa bwana Swai?
 
Kwenye Swala la kutoa huduma kwa jamii,Christopher kachangia shule ya msingi ya Kisereni na sasa imebadilishwa ina majengo ya kisasa, kachangia shule
ya secondary ya Kimbushi High schoool na hospitali ya Nkweshoo na sasa ana Jenga daraja la mto Mwanga ambalo kwa miaka mingi sana limekuwa halipitiki kwa njia ya gari hivyo kufanya wana kijiji kupata taabu sana ya usafiri na mambo mengine mengi tu aliyo changia
.
Kumbuka michango yao siyo kigezo cha wao kuchanguliwa, kwa sababu hizo fedha wanazo changia zinatoka mifukoni mwao na wakipata huo ubunge cha kwanza kufanya ni kurudisha fedha zao walizotowa.

Kwa hayo wamachame watamchagua tu.
Najua wamachame hawapendi maneno matupu.Ni watu wa vitendo kuanzia akina MANGI SHANGALI.
 
Ukweli ni kwamba kuchagua hata na kugombea ni part of democracy. Acha wazalendo wajotose, kwa nini nguvu itumike kutwaa madaraka? Viva Mzee Ndesamburo, na Mungu akulinde na mafisadi wa uongozi. Uongozi thabiti na wa maadlili ni kipaji, haulazimishwi!!! Kama kweli una maadili na unakubalika kwa jamii ni kwa nini utumie nguvu kuhonga ili uchaguliwe? Watanzania tuamke, tuone kuwa uongozi ni wito na si kuburuzwa!!! Kama kweli SSM wana uadilifu na mvuto kwa wananchi ni kwa nini watumie nguvu kiasi hicho? Hainiingii kichwani hata kidogo.
 
kwenye swala la kutoa huduma kwa jamii,christopher kachangia shule ya msingi ya kisereni na sasa imebadilishwa ina majengo ya kisasa, kachangia shule
ya secondary ya kimbushi high schoool na hospitali ya nkweshoo na sasa ana jenga daraja la mto mwanga ambalo kwa miaka mingi sana limekuwa halipitiki kwa njia ya gari hivyo kufanya wana kijiji kupata taabu sana ya usafiri na mambo mengine mengi tu aliyo changia.
Kumbuka michango yao siyo kigezo cha wao kuchanguliwa, kwa sababu hizo fedha wanazo changia zinatoka mifukoni mwao na wakipata huo ubunge cha kwanza kufanya ni kurudisha fedha zao walizotowa.

kwa hiyo sasa anahitaji reward kwa michango yake siyo? Reward yenyewe ni ubunge! Hahahahahahaha rafiki zangu wachaga siku hizi mmekuwaje? Msipompa je atawafanyaje?
Kila atakayetoa hisani akaja kudai ubunge mtawapa wangapi? Mbona kuna wengi wamefanya zaidi ya hapo wala hawana matangazo?
 
Siya sema hiyo misaada ametowa ili apate ubunge,ndugu Kwayu kasema Mbowe ana ushawishi sana kwa wakazi wa hai akatoa na orodha ya misaada aliyoitoa nami nika mwambia na Bw.Mushi nae amechangia shughuli nyingi sana za kimaendeleo...

Ukweli ni kwamba hao wote wanatoa hiyo misaada wakijua kuna watakacho kipata toka wa hao wanaowapa misaada,Bw. Mengi pekee ndiye kwa hapa hai ambaye tunajua misaada yake inatoka kwa moyo na siyo kujitafutia ujiko kwa wananchi kama wanavyo fanya hawa wengine.
 
Huyu mama akapumzike tu angekuwa wa maana angebuni miradi mbali mbali kwa ajili ya Moshi na si kumngoa NdesaMburo Moshi
 
Mkuu Cathbert,

Kuna ahadi ambazo Mbowe alituahidi wapiga kura wake kwenye kampeni mwaka 2000,alitekeleza 100% na zingine akatekeleza hata amabazo hazikua kwenye ahadi zake za kampeni kama umaliziaji wa majengo Lyamungo sekondari,vifaa kama computer nk

Mzee hebu sasa kuwa fair.

Pia vipi huyo jama aliyepewa ukamanda wa wilaya ya Rombo huyo ndugu Prosper Silayo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom