Ubora wa Vifaranga vya IDEAL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubora wa Vifaranga vya IDEAL

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mgombezi, Nov 1, 2010.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndugu Wana JF

  Nafahamu sote tuko makini katika kufuatilia matokeo ya Uchaguzi.

  Hata nami saa hii nipo katika banda langu la kuku with my laptop na kufuatilia taarifa hizi hapa JF.

  Naomba kama kuna mwenye uzoefu wa kufuga kuku wa nyama (broiler) vifaranga vya IDEAL Chick. Kwani mimi nilishapata hasara mara mbili, mara ya kwanza niliweka vifaranga 600 bandani na nikaambulia kuuza kuku 300 na mara nyingine nikajaribu 200 na kuambulia 50.

  Niliamua kutokuchukua vifaranga hivi tena lakini supply wangu hapa Zanzibar alinieleza kwamba katika batch hizo nilizopata hasara kulikuwa na tatizo katika uzalishaji an ideal watanilipa vifaranga 150. Hivyo bas niliomba aniangizie 450 zaidi ili kutimiza idadi ya vifaranga 600.

  Lakini bado naona idadi ya vifo kuwa kumbwa, leo vifaranga vina siku ya 4 lakini nimeshapoteza vifaranga takribani 50.

  Naomba kama kuna mwenye uzoefu kwa vifaranga hivi vya ideal basi aweze kunifahaimsha kwani mimi nina conclude kwamba vifaranga hivi havina ubora.
   
 2. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Huwa unaanzishia dawa gani?
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  kama eneo la kuangulia vifaranga lina mazingira machafu vifaranga uzaliwa na infection ambayo will kill them soon wakishatoka kiwandani.
  so Jaribu vifaranga toka zambia pale maeneo ya Tazara.
  IDEAL Chicks wapo Temeke.nilishawai tembelea kiwanda chao cha kuzalisha vifaranga,but sidhani kama wana meet 100% hygine condition ya sehemu za kuzalishia vifaranga au kama wana vetenary office wa huakika kuratibu kazi za kiwanda chao.
  je wizara yetu ya kilimo inajua ubora wa mayai walayo watnzania?
  read

  Salmonella Enteritidis; from the Chicken to the Egg.


  by Dale Blumenthal

  White, shining, unmarred-a Grade A mystery now lies in the uncracked egg. Is it safe to eat?-9,999 times out of 10,000, yes. But ...
  In May 1989, six nursing home patients in Pennsylvania died from Salmonella enteritidis poisoning after eating stuffing that contained undercooked eggs.
  In July, 21 guests at a baby shower in New York became ill after eating a pasta dish made with a raw egg. One victim was 38 weeks pregnant and delivered her baby while ill. The newborn infant developed Salmonella enteritidis blood poisoning and required lengthy hospitalization.
  Last August, a healthy 40-year-old man died, and 14 others were hospitalized, after eating egg-based custard pie contaminated with Salmonella enteritidis, which was served at a company party in Pennsylvania. The list goes on.
  Public health officials are concerned. More than 49 outbreaks of Salmonella enteritidis poisoning took place in nine states and Puerto Rico last year, resulting in at least 13 deaths and more than 1,628 illnesses. According to the Jan. 5, 1990, issue of the Centers for Disease Control's Morbidity and Mortality Weekly Report, from January 1985 through October 1989, 189 Salmonella enteritidis outbreaks in the United States caused 6,604 illnesses and 43 deaths. Many more illnesses probably went unreported, says Joseph Madden, Ph.D., deputy director of FDA's division of microbiology.
  Health investigators suspect that contaminated shell eggs caused nearly half of these outbreaks. The egg connection in these cases was determined by tracing the food eaten by the victims and taking cultures both from patients and foods.
  Especially at risk for Salmonella poisoning are the elderly, the very young, pregnant women (because of risk to the fetus), and people already debilitated by serious illness, malnutrition, or weakened immune systems. Symptoms of Salmonella enteritidis infection usually include diarrhea, vomiting, abdominal pain, chills, fever, and headache. The bacteria can invade organs outside the gastrointestinal tract, causing complications that require lengthy hospitalization, even in healthy people.
  Symptoms usually develop 12 to 36 hours after eating the contaminated food. The initial illness also can bring about serious chronic complications.
  In 1985, in an incident in Chicago, more than 16,000 people contracted food poisoning from low-fat milk contaminated with Salmonella bacteria. Within two weeks, about 2 percent of these patients developed a chronic reactive arthritis condition linked to the infection. Although the Salmonella bacteria that made these people ill was not Salmonella enteritidis, researchers have found that rats infected with Salmonella enteritidis may develop the same arthritic condition. Researchers are concerned that Salmonella enteritidis may also cause this complication in humans.
  Since 1976, says Robert Tauxe, M.D., a CDC expert on the spread of the disease, the reported rate for Salmonella enteritidis infections from food "has increased more than sixfold in the northeastern part of the United States." First noted in the New England states, the infections also appeared in the mid-Atlantic region by 1983, and now have become a problem in the south Atlantic states as well. Recently, outbreaks were reported in Minnesota, Ohio and Nevada.
  The problem also has become an international egg to crack. "The U.S. Salmonella epidemic," says Tauxe, "is dwarfed by dramatic increases that have been reported from Yugoslavia, Finland, Sweden, Norway, and the United Kingdom." In Britain alone, the number of confirmed Salmonella enteritidis cases reported for January through July 1988 (4,424 cases) was more than double the number (2,000) for the same period in 1987.
  Source: Intact Eggs
  At first, says Tauxe, "we did not have an explanation for this striking increase." The first real clue that intact eggs were a source of the problem came in 1983, when CDC traced a large outbreak caused by Salmonella enteritidis to a commercial stuffed pasta product made with raw eggs.
  Investigators then reviewed reports of past outbreaks and determined that at least since 1973, Salmonella enteritidis outbreaks appeared to be caused by the bacteria in clean, uncracked, Grade A eggs.
  "In the 1960s," Tauxe says, "salmonellosis [the disease caused by the Salmonella bacteria] associated with chicken eggs was epidemic in the United States. At that time it was determined that eggs were being contaminated by Salmonella in chicken feces on the outside of the egg shell, which penetrated into the eggs through cracks in the shell." That led to strict rules, established and enforced by the U.S. Department of Agriculture, for washing and sanitizing shells of commercial eggs.
  But this new epidemic is associated with Salmonella enteritidis in inspected, uncracked and sanitized Grade A ...
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tatizo ;pia linaweza kuwa kwenye banda lako, mwite mtaalamu alikague. Na angalia dalili za vifaranga wanaokufa, mtaalamu abaini tatizo ni nini
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160

  Mkuu asante kwa kututahadharisha kuhusu ulaji wa mayai yasyoiva vema.
   
 6. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hawa kuku nimewaingiza bandani tarehe 27 Oct 10 na niliwapa glucose kwa masaa machache halafu nikaanza kuwapa neoxyvital, ilipoisha neoxyvital nilinunua vitox ambayo nilishauriwa na daktari, vifo vimeanza kutokea tarehe 1 Nov 10 na mpaka leo tarehe 2 Nov nimeshapoteza takriban vifaranga 200. Kwa kweli hawaonyeshi dalili ya kuumwa bali unakuta wanaishiwa nguvu na kufa.
   
 7. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
   
 8. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante Mpita njia; kabla ya kuingiza kuku bandani nilisafisha banda kwa dawa. Nitamwita mtaalamu wa kuku ili aweze kubaini tatizo.
   
 9. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Chipukizi unaweza kuwa na contact zao; kwani mara ya kwanza walikiri tatizo lilikuwa kiwandani na waliahidi sasa limerekebishwa.
   
 10. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Chipukizi; hivi pale Tazara viranga wanapatikana kila siku au mpaka kuweka order. Mimi nipo Zenji, hivyo itanilazimu kuja dar asubuhi na kununua hivyo vifaranga na kurudi. Unaweza kuwa na contact ya supply yeyote yule
   
 11. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Nafuga kuku pia lakini sijawahi kupatwa na tatizo la aina hiyo. Jaribu pia kuangalia JOTO kama liko sawa. Usije ukawa unawakaanga kwa joto. Joto linatakiwa kwenda likipungua kila wiki na kulingana na hali ya hewa. Pia watotoleshaji wamekuwa wengi, tafuta mtotoleshaji ambaye hana historia ya aina hiyo. Wapo watotoleshaji wakubwa ambao hukuti hasara ya kiwango hicho. Nina vifaranga wapya 300 lakini ni 2 tu walikufa bila kuelewa sababu. 2 zaidi waliingia kwenye milango ya majiko ya mkaa. Wengine wote wapo salama. Sioni kwa nini hao wa IDEAL wafe hadi 200!!!! Hasara sana jamani.
   
 12. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante Digna; banda langu lina uwezo wa kukaa kuku mia 300 kutokana na ushauri wa ujenzi wa banda; hivyo basi nimepunguza ukubwa wa banda (partition) ili kukuza hivi vifaranga halafu nitavitenganisha katika mabanda mawili. Nimeweka taa 6 (bulb) za 100 watts na nimekuwa niki control joto kwa kuzipandisha na kuzishusha.
   
 13. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu Tazara Vifaranga all days wapo no kutoa order au kusubiri Unalipa unachukua vifaranga
  Ideal Chicks Box 8640 022 2862706 and 022 2862719
   
 14. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu, nimejaribu kupiga hizo namaba lakini nahisi wamefunga ofisi muda huu. Nimemleta mtaalam na amenieleza kuna uwezekano mkumbwa kwamba tatizo ni vifaranga katika uzalishaji. Hivyo ninasubiri Alhamisi nipeleke sample kwenye maabara ya serikali halafu nipate ripoti ili niweze kuwabana vizuri hawa ideal. Ninajaribu kuwatafuta wale tuliyochukua batch moja ili kuona ukubwa wa tatizo lenyewe, lakini kwa mujibu wa mtaalamu mimi nilikuwa ni mtu wa nne kuripoti kesi ya namna hiyo.
   
 15. Cathy Duncan

  Cathy Duncan Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah guys, whatÂ’s this scene of eggs? Is it a true story that people are dying after eating uncooked eggs? They seem to be poisonous enough as told by few of my friends. Is there any remedy for them?
   
Loading...