Mgombezi
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 610
- 178
Ndugu Wana JF
Nafahamu sote tuko makini katika kufuatilia matokeo ya Uchaguzi.
Hata nami saa hii nipo katika banda langu la kuku with my laptop na kufuatilia taarifa hizi hapa JF.
Naomba kama kuna mwenye uzoefu wa kufuga kuku wa nyama (broiler) vifaranga vya IDEAL Chick. Kwani mimi nilishapata hasara mara mbili, mara ya kwanza niliweka vifaranga 600 bandani na nikaambulia kuuza kuku 300 na mara nyingine nikajaribu 200 na kuambulia 50.
Niliamua kutokuchukua vifaranga hivi tena lakini supply wangu hapa Zanzibar alinieleza kwamba katika batch hizo nilizopata hasara kulikuwa na tatizo katika uzalishaji an ideal watanilipa vifaranga 150. Hivyo bas niliomba aniangizie 450 zaidi ili kutimiza idadi ya vifaranga 600.
Lakini bado naona idadi ya vifo kuwa kumbwa, leo vifaranga vina siku ya 4 lakini nimeshapoteza vifaranga takribani 50.
Naomba kama kuna mwenye uzoefu kwa vifaranga hivi vya ideal basi aweze kunifahaimsha kwani mimi nina conclude kwamba vifaranga hivi havina ubora.