Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,297
- 10,981
Ila pamoja na mbwembwe zenu zote udsm wanaazima walimu wa anatomy kutoka bugando,so sadKuna haja ya kuanzisha thread maalum ambayo itakua inaelezea mambo mazuri yaliyofanywa na yatakayokua yanaendelea kufanywa na UDSM...
kwasababu hii itawasaidia wale wote wanaojaribu kufanya makosa ya kuifananisha UDSM na mambo ya kipumbavu..!
Huo ni ukweli usiohitaji kuumiza kichwa kuelewa, Tanzania hakuna chuo chakushindana na udsm labda colleges, schools na Institute zake...ila UDSM in general ni level ya kimataifa.
Kabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "URGUMENT" unaweza tiliwamashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU
Unamjua dk platapIla pamoja na mbwembwe zenu zote udsm wanaazima walimu wa anatomy kutoka bugando,so sad
SIMJUIUnamjua dk platap
UDSM ni chuo kikubwa na kikongwe je ukubwa wa UDSM ni nini au unatokana na ukubwa wa eneo au ubora wa elimu.
Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.
NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu
UDOM-?
DIT-?
Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele

Mafisadi wote Udsm wamezalishaUDSM ni chuo kikubwa na kikongwe je ukubwa wa UDSM ni nini au unatokana na ukubwa wa eneo au ubora wa elimu.
Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.
NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu
UDOM-?
DIT-?
Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele
Hujatoa hoja hata moja ubora wa chuo unapimwa kwa lipi kwa ukongwe au kutoa wataalam wasio na faida tuambie imetoa mtaalam fulani na kafanya kadhaa na kama chuo kimefanya kadhaa.zaid hakina contribution inayoendana na umri wake.kina umri mkubwa lakn hakiendani na umri.Kabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "Argument" unaweza tiliwa mashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU
uko chuo gani kaka?hujasoma hata communication skills?Nitampa secretary idea yeye ataniandikia barua hiyo ndio profession yao, niko mwaka wa pili chuo sijawahi kukutana na course yakuandika barua kwa level ya degree,,, hawategemei sisi kufanya kazi hizo wapo wataalamu wake.
Acha battle bwana ..nipo udsm. First year Nilisoma communication skills for lawyers hamna uandishi wa barua,barua nimesoma form one na form six language 1 topic ya writing.uko chuo gani kaka?hujasoma hata communication skills?
Hujataka kuziona kwasababu umejicondition hivyo....ila jaribu kufikiria udsm isingekuwepo Tanzania ingekua vipi? Kwa kweli Historia ya Tanzania ingekuwa tofauti na tunavyohifamu leo.I expected alumni wa udsm mtaleta facts at least,
But the thing is hakuna hata mmoja ameelewa hata mtoa mada anataka nini,
I am really shocked,
Is this what you are learning out there?
Tena nadhani hizi ni products za hivi karibuni,
Hii inaonesha jinsi gani elimu yetu imeshuka..
Wizara inatakiwa isifumbie macho hili suala..
Kuna mmoja ameelezea angalau DIT wanafanya something kinaonekana useful..
Na huwa nikipita kule SIDO napata faraja sana, jamaa wanafanya inventions na wengine hata secondary hawajaenda.
Ila jinsi alumni wa udsm tunajibu hoja humu, ni obviously tuna shida kwenye mfumo wetu wa elimu
HahahahahaaaaNitampa secretary idea yeye ataniandikia barua hiyo ndio profession yao, niko mwaka wa pili chuo sijawahi kukutana na course yakuandika barua kwa level ya degree,,, hawategemei sisi kufanya kazi hizo wapo wataalamu wake.
Nitampa secretary idea yeye ataniandikia barua hiyo ndio profession yao, niko mwaka wa pili chuo sijawahi kukutana na course yakuandika barua kwa level ya degree,,, hawategemei sisi kufanya kazi hizo wapo wataalamu wake.
Na bila udsm pasingekua na mafisadi....escrow, epa, kiwira, zingekua ndotoUdsm ni engine ya Tanzania, bila udsm sitaki kupata picha maisha yangekuaje
Mpaka mda huu UDSM imeleta/imegundua nini??? Mleta mada kawa open...kataja sua walichogundua, makerere pia!!! How about udsm!!???? Maana isijekua jina tu kumbe hamna kituKabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "Argument" unaweza tiliwa mashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"