Ndio hasa nilichokuwa namuelekeza jamaa. TCL smart tv ziko generation tatu mkuu. Mwanzo walitoa linux based kisha wakaja android based na sasa wako Roku based.unadownload playstore kwenye simu yako kisha una pair. kama ni tv ya roku itakubali, kama sio ya roku itakataa.
nimeicheki online ni opera tv. siku hizi inaitwa vewd.Ndio hasa nilichokuwa namuelekeza jamaa. TCL smart tv ziko generation tatu mkuu. Mwanzo walitoa linux based kisha wakaja android based na sasa wako Roku based.
Kwa soko letu la bongo hizo za linux ziko dated na ndio zilizojaa maduka mengi. Zenye android os zipo chache pia ila wauzaji wengi hawajui tofauti zilizopo wao wanapost mapicha tu ya TCL zenye Roku os katika matangazo ila interface ya Roku ni tofauti kabisa na hizo gen.za nyuma from the tv homescreen tu.
Kuhusu kupair tv na simu najua kwa kufanya screen mirroring tu ila kwa style unayosemea wewe sidhani kama itafaa maana tv yangu sio ya Roku!
Naungana na wwe mkuu na mmi nina mwaka sasa toka ninunue Star X 32" kama testing tu baada ya kuona bei yao na picture quality,amazing.Mimi natumia Star X 43" kwa miaka 2, iko vizuri na sijapata tatizo lolote! Na kabla ya hapo nilikuwa natumkia Sony Bravia 32" ambayo ilikufa Display baada ya miaka 5.
Yeah inatumia interface ya opera. ROKU tv kwa bongo wachache sana wataweza zitumia. Maana mabando huku ni ya mawazo sio kama wenzetu US unaweza fungiwa internet nyumbani kama system ya umeme au maji kisha walipa mwisho wa mwezi!nimeicheki online ni opera tv. siku hizi inaitwa vewd.
ila mkuu hata Roku sio nzuri kivile ni kama tu hio opera tv, imetengenezwa kujali mazingira ya usa watu wanaolipia subscription za TV mbalimbali kama Netflix. hupati mobdro wala kodi wala plex, advantage yake ni smart tu utaconect simu na tv hizo apps utatumia za simu.
Mangi model gani Sony Home Theatre ambayo ni nzuri? Price 0.9million -1.2MillionYeah kwa bongo wachache sana wataweza itumia. Maana mabando huku ni ya mawazo sio kama us unafungiwa internet nyumbani kama system ya umeme au maji kisha walipa mwisho wa mwezi!
Mkuu chukua Sony BDV-E3200 ndio iko vizuri sana katika hio price range. Ni toleo la kisasa lenye blu-ray player na NFC connectivity, Wi-fi na features nyingine kali. Output yake ni 1000 watts so itakuwa na mziki wa kutosha tu.Mangi model gani Sony Home Theatre ambayo ni nzuri? Price 0.9million -1.2Million
Inategemea na unachotaka ndani humo, kwa ubora na features zaidi zipo kwa LG in case unanunua toleo la kisasa zaidi kwa maana Smart tvMsaada tafadhali
Kati ya lg na TCL ipi ni nzuri kwenye sauti,ubora wa picha nk
Nataka kuchukua inch 32 kati ya hizi.
Ushauri wenu wakuu
Je smart tv TCL Vs Lg ambayo sio smartInategemea na unachotaka ndani humo, kwa ubora na features zaidi zipo kwa LG in case unanunua toleo la kisasa zaidi kwa maana Smart tv
Kama kipaumbele ni picha na sauti chukua LG kiongozi ila kwa durability zote ziko durable and reliable regardless hio LG sio smart tv.Je smart tv TCL Vs Lg ambayo sio smart
Hapo jee ??
Kwangu kipaumbele ni ubora wa picha,sauti na durability.
Je nichukue ipi kati ya hapo
Good analysisKama kipaumbele ni picha na sauti chukua LG kiongozi ila kwa durability zote ziko durable and reliable regardless hio LG sio smart tv.
TCL wako bomba ingawa kwa picha angavu hawaifikii LG ila quality yao inaridhisha sana hasa ukiongeza na smart features kama youtube, facebook, twitter, screen mirroring, web browser na golive streaming channels inaziba kabisa hilo pengo la LG
Safiii. Utainjoy mi niko nayo iko bomba sana tu!Good analysis
Dah ngoja nichukue tu TCL manake walishaifungua kabisa kwenye box roho ikasita.
Japo bundle la kuchechemea lakini hakuna jinsi.
usisahau kuangalia na model, kama juu kulivyozungumzwa hio lg au tcl utakayouziwa inaweza ikawa ni ya kizamani. hakikisha una hata ka simu ka ku google ukiwa dukani unaitumbukiza model google kuangalia ni ya lini na ina vitu ganiMsaada tafadhali
Kati ya lg na TCL ipi ni nzuri kwenye sauti,ubora wa picha nk
Nataka kuchukua inch 32 kati ya hizi.
Ushauri wenu wakuu
Kwa experience yangu katika ubora wa picha samsung anampiga bao lg maana nilianza na samsung later nikahamia lg nikaja kugundua hilo.usisahau kuangalia na model, kama juu kulivyozungumzwa hio lg au tcl utakayouziwa inaweza ikawa ni ya kizamani. hakikisha una hata ka simu ka ku google ukiwa dukani unaitumbukiza model google kuangalia ni ya lini na ina vitu gani
Nakubaliana na ww mkuu nna smart lg hapa safi sn mirroring,smartshare, viewing angle ni 4k vivid picture opt yaani hadi rahaInategemea na unachotaka ndani humo, kwa ubora na features zaidi zipo kwa LG in case unanunua toleo la kisasa zaidi kwa maana Smart tv
Inategemea ulikua na Lg model gani na pia hiyo samsung ilikua model gani...Kwa experience yangu katika ubora wa picha samsung anampiga bao lg maana nilianza na samsung later nikahamia lg nikaja kugundua hilo.
Sony sijawahi kutumia ila kuna jamaa yangu alikuwa nayo lcd sikuipenda na ilikuwa ijabagua video formats kutoka kwenye usb drive
Samsung niliyokuwa nayo model sikumbuki niliinunua mwaka 2013, na lg niliinunua mwaka 2015 ilikuwa ni toleo la mwaka huo now nimerudi tena samsungInategemea ulikua na Lg model gani na pia hiyo samsung ilikua model gani...
LG mtu makini sana make sure unapata yenye specs nzur...
Nakubaliana na ww mkuu nna smart lg hapa safi sn mirroring,smartshare, viewing angle ni 4k vivid picture opt yaani hadi raha