Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,324
Ngumu kuzipata Tanzania mkuu, model ni hizo nilizozitaja hapo juu.Hili ni jambo muhimu sana,ni vyema ukaniwekea model hapa au majina na duka nikaepuka kujilaumu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu inasemwa sana na wauzaji wa Tv ili kuwaaminisha wateja kwamba TCL ndo Hitachi. Ukigoogle unakuta hizi ni kampuni mbili tofauti na zote bado zina exist.TCL zamanj ndio tulikuwa tunaijua kama HITACHI
Si mnazikumbuka Hitachi zilivyokuwa ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Roku hyo unalipia bei gan kwa mwezi mkuu?? Na unaweza nipa maelezo kidogo nikaifaham ?? Au na yenyew nii TV box??Ngumu kuzipata Tanzania mkuu, model ni hizo nilizozitaja hapo juu.
1. Kama una hela ya kulipia kila mwezi nunua Roku.
2. Kwa vitu vya bure nunua za android kama
-amazon fire tv stick
-xiaomi mi box
-mecool box etc
Inategemea na service utakayonunua. Mfano wewe ni mpenzi wa movies na series unalipia Netflix ambayo ni kama dola 10 kwa mwezi (24,000) mnaweza mkashare hii account hadi watu wanne na wawili wanaweza kuangalia kwa mpigo.Roku hyo unalipia bei gan kwa mwezi mkuu?? Na unaweza nipa maelezo kidogo nikaifaham ?? Au na yenyew nii TV box??
Thanks mkuu.. Lakin hapo bundle la internet si lazima???Inategemea na service utakayonunua. Mfano wewe ni mpenzi wa movies na series unalipia Netflix ambayo ni kama dola 10 kwa mwezi (24,000) mnaweza mkashare hii account hadi watu wanne na wawili wanaweza kuangalia kwa mpigo.
Roku inaweza kuja na tv mfano za TCL ama ukanunua tv box/stick separate.
From scratch imetengenezwa kwa ajili ya tv hivyo ni nzuri sana kimatumizi na haichanganyi compare na za android.
Muonekano wa box/stick
Muonekano kwenye tv
NdioThanks mkuu.. Lakin hapo bundle la internet si lazima???
Bora nimatafte startimes tuu. No way out [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio
Andaa pesa za vocha mkuuu... Kuna msemo unasemaga The shortcut is always a long cut afu pia Cheap is Costful..Bora nimatafte startimes tuu. No way out [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee sina huo mpango naenda zangu kuchukua startimes.. Shida ya nn kununua vocha na kulipia tena $10 kwa mwez [emoji23][emoji23][emoji23]Andaa pesa za vocha mkuuu... Kuna msemo unasemaga The shortcut is always a long cut afu pia Cheap is Costful..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Sana mkwawa ww nimoja kati ya watu muhimu Sana kwenye jukwaa hili! Nimoja kati yawatu niao wafatilia Sana na mnanifanya niendelee kufatulia jf, vp mkuu upande wa Tv bora kwa Sasa maana ninampango wa kuchikua smart nch 32 kati ya LG Samsung na TCL. Je ipi inaweza kua the best kuliko??? Ushauri tafadhaliMkuu utafunaji bundle ni unachotumia hakuna limit maalum jinsi matumizi yalivyo makubwa ndio jinsi linavyoisha
Smart tv chache zinakuja na android.
Samsung zake zinakuja na tizen os
Lg zake zinakuja na web os
Tcl zake zinakuja na roku ama modified linux tv os.
Baadhi ya kampuni zinakuja na android.
Kama ni android local chanell unaona kupitia apps husika kama sio android inabidi uweke links za local chanells manual,zote inawezekana.
Vp mkwa ntajuaje km hi tv nibora kwa upande wa Resolution mfn Kati ya 1366*768 na 1920*1080 na tofauti ya vitu hivi ni ipi? Na ntajuaje km ni built in settelite decoder ? Msaada plzNgumu kuzipata Tanzania mkuu, model ni hizo nilizozitaja hapo juu.
1. Kama una hela ya kulipia kila mwezi nunua Roku.
2. Kwa vitu vya bure nunua za android kama
-amazon fire tv stick
-xiaomi mi box
-mecool box etc
1920x1080 ni bora zaidi sababu resolution yake ni kubwa, ila kuupata huo ubora inabidi pia uwe na content nzuri.Vp mkwa ntajuaje km hi tv nibora kwa upande wa Resolution mfn Kati ya 1366*768 na 1920*1080 na tofauti ya vitu hivi ni ipi? Na ntajuaje km ni built in settelite decoder ? Msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia budget yako mkuu, na specs utakazopata. Mfano unapata TCL 1080p yenye Roku at same price ya samsung ama lg ni 720p kwangu binafsi ningechukua TCL.Ahsante Sana mkwawa ww nimoja kati ya watu muhimu Sana kwenye jukwaa hili! Nimoja kati yawatu niao wafatilia Sana na mnanifanya niendelee kufatulia jf, vp mkuu upande wa Tv bora kwa Sasa maana ninampango wa kuchikua smart nch 32 kati ya LG Samsung na TCL. Je ipi inaweza kua the best kuliko??? Ushauri tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ina fursa gani humu,play store inapatikana na kipi kingine cha ziada
Main Features:Hii ina fursa gani humu,play store inapatikana na kipi kingine cha ziada
Mkuu naomba uanzishe uzi au hapa hapa ututoe tongo tongo....juu ya vitu vya kuzingatia unaponunua TV. Ukianzisha uzi...unitag. Asante.Mkuu hilo swali ni gumu sana. Kwa kifupi tu kuna mambo mengi ya kuangalia. Makubwa haswa ni kwamba wewe mnunua TV unahitaji nini kwenye TV yako,viewing angle,je kwa TV ndogo kama nchi 40 (Samahani kwa huku nilipo hizo ni ndogo) je kuna faida ya kununua 1080P ?Kama hakuna faida je nikinunua 720P nikaokoa hela kuna madhara yoyote ? Najua sasa hivi kuna 4K ambayo ni 2160P je ukinunua hiyo kuna content za kuangalia kwa hiyo resolution ? Fikiria tu ukiangalia TV kwa jumla sidhani kama kuna station inayorusha matangazo kwa 1080P,zinazojitahidi sana ni 720P kwa hiyo mara nyingi utaangalia 1080P contents ukutumia blu ray,mfuko wako una urefu gani etc etc. Pia fanya research yako mwenyewe kuhusu hiyo TV,yaani kuanzia brand na model number. Model number,tafiti kwa nini kwa mfano Samsung LCD 50 inches zenye model number tofauti,zinauzwa bei tofauti.Usiulize muuzaji kwa kuwa mara nyingi atataka kuuzia ambayo ina profit margin kubwa.
Karibu
Ahsante Sana kaka hapo no comment1920x1080 ni bora zaidi sababu resolution yake ni kubwa, ila kuupata huo ubora inabidi pia uwe na content nzuri.
Mfano ukiangalia chanel 10 kwenye tv yoyote unaweza usione utofauti sababu tv yenyewe ina quality mbaya na resolution ndogo, ila ukiangalia chanell kama Azam sport HD utaona utofauti baina ya tv yenye resolution kubwa na ndogo.
Kuhusu decoder pitia huu uzi.
Utajuaje kama TV yako ina king'amuzi cha ndani? - JamiiForums
umesomeka swali langu limekua lenye faida kwangu nakwa wengine! Hasa nlikua nachanganyikiwa kwenye hiki kitu resolution unakuta tv inayosifiwa kwa ubora ni LG au Samsung lkn imezidiwa resolution na tv ya kawaida mfano singsung namaranyingi tv zilizoandikwa fully hd zinakua na resolution kubwaAngalia budget yako mkuu, na specs utakazopata. Mfano unapata TCL 1080p yenye Roku at same price ya samsung ama lg ni 720p kwangu binafsi ningechukua TCL.
Kama unapitia sehemu unaweza chukua models zake na kuzileta humu ili tuzilinganishe.