and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,512
- 40,349
- Thread starter
- #41
PhD nomaa
Mbona Ndugai anatoa maamuzi ya utata?Ubora wa vyou hivyo tajwa ni kutoa Phd zenye utata , na hata walio tunukiwa Phd na hivyo vyuo maamuzi yao mengi ni ya utata, na hata hawafananii na Phd kabisa. Kama unata kufanya Phd na upo serious kidogo jaribu vyuo vya Japan
Amesoma wapi nae ndugai?Ubora wa vyou hivyo tajwa ni kutoa Phd zenye utata , na hata walio tunukiwa Phd na hivyo vyuo maamuzi yao mengi ni ya utata, na hata hawafananii na Phd kabisa. Kama unata kufanya Phd na upo serious kidogo jaribu vyuo vya Japan
PhD ya UDOM inakubalika kufundisha vyuo vingine?
Maana ukisoma Peospectus ya SUA au UDSM huwezi kukuta Dr./Prof. Aliyesoma PhD yake Open University of Tanzania au UDOM.
For more information potia prospectus ya unapotaka kufanya application, unless other wise utaliwa hela tu ya applicationNajua ni masters ila ya ufaulu upi?