Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,821
- 56,301
UDOM wapo. Tena kuna ambao wamehamishiwa DIT juzi juzi. Wapo watu wenye phd udom na serikal inawachukua kama kawaida.Maana ukisoma Peospectus ya SUA au UDSM huwezi kukuta Dr./Prof. Aliyesoma PhD yake Open University of Tanzania au UDOM.
Sent using Jamii Forums mobile app