Ubora wa PhD za Open Univ. Mzumbe & UDOM

MUM ukiacha zile propaganda za vyuo flan ni chuo bora barani
Teh teh teh an old English saying "every rumour has a reason" chuo bora barani? Bara lipi? Kwa takwimu gani? Au authority gani? Kwa ufupi nothing academic in terms of research publications, consultancy, MUM is at the end tail nationally let alone at the international stage. Au ndo unaongea kimahaba?
 
Mkuu wee wa udsm nini mbona unakipondea sana MUM

Wamekufanyaje wale watu
 
Duh ukiuzulia hzo sherehe utataman shle japo mziki wake n mkubwa m nakumbuka kuna jamaa alikuwa nguli wa mambo ya language na alituenyesha sana sasa sku ya presentation yake nkauzulia jamn phd n kasheshe kwanza akat anapresent akaambiwa unasoma au unaimba maana hatuelew jamaa alipanic kinyama
Duuh, kuimba? ndo maana watu wengi wanaiogopa PhD, FULL STRESS, na hatuko tayari kukosolewa, huyo jamaa alifaulu kweli hiyo Viva Voce/ Public Defence?
 
Mkuu wee wa udsm nini mbona unakipondea sana MUM

Wamekufanyaje wale watu
Kwani Udsm Na MUM wana ugomvi au utani wa jadi? Nilitegemea labda mtu ataleta to the contrary nilichokiandika. Anyway ndugu sio kesi na hawajanifanya kitu. Samahani kwa waliokwazika Mimi nimejitoa kwanye mada ya mum
 
Ubora wa vyou hivyo tajwa ni kutoa Phd zenye utata , na hata walio tunukiwa Phd na hivyo vyuo maamuzi yao mengi ni ya utata, na hata hawafananii na Phd kabisa. Kama unata kufanya Phd na upo serious kidogo jaribu vyuo vya Japan
Nafikiri mkuu ungetueleza huo utata uko katika maeneo gani ingekuwa vizuri ili muombaji ajitathimini.
 
Back
Top Bottom