vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda

kwi kwi kwi,naona hasira zako za kushindwa kufika udsm umeamua kuniletea mie...wasalimie muccobs.

Kaka mb0na nimepangwa mucobs t means hakina ubora au? Duh naächa chuo..

UDOM ni chuo cha vilaza hatasikumoja huwezi kuta mtu mwenye div one ya ukweli akapangwa UDOM.Kule wanaenda wajinga ili waje kuwa makada wa CCM Tu.st joseph napo wizi mtupu hamna chochote si lolote.Chuo chenye hadhi na heshima Tanzania Ni UDSM peke yake.Pia hata kwenye interview huwa wanafukuzwaga kama jibwa koko.

sasa we umesoma cjui muccobs,ubora wa ud utaujulia wap mkuu?tanzania kuna vyuo vkuu viwil,ud na sua,atleast mzumbe,udom,ifm,muhas na ardhi nao wanafanya vzr!hvo vlvobaki haijulikan kama ni vyuo au secondary,hutaki chukua bango uandamane..
Kwa akili yako ndogo umekariri kua chuo kikuu ni UDSM tu,badilisha msimamo mkuu chuoni huwa ni juhudi binafsi juu ya kuatafuta elimu,kama unatarajia jina la chuo litakujengea misingi bora ya elimu na ufanisi katika maisha basi unajidanganya!UDOM ni chuo cha vilaza hatasikumoja huwezi kuta mtu mwenye div one ya ukweli akapangwa UDOM.Kule wanaenda wajinga ili waje kuwa makada wa CCM Tu.st joseph napo wizi mtupu hamna chochote si lolote.Chuo chenye hadhi na heshima Tanzania Ni UDSM peke yake.Pia hata kwenye interview huwa wanafukuzwaga kama jibwa koko.
Haya Bwana nimekupata ila saa nyingine unalazimika kutumia lugha yoyote ilmradi ujumbe ufike.Baada ya kufuatilia malumbano yenu naamini kitu kimoja. Elimu Tanzania imeshuka sana. Sioni mshiriki anayepanga vizuri mawazo yake na kuyawasilisha katika mjadala kisomi. Washiriki wengi wanachanganya kiingereza na kiswahili na kunionyesha kuwa hawajui lugha zote mbili. Kama wewe ni msomi wa chuo kikuu inabidi utuonyeshe kuwa kweli unaijua lugha unayoitumia kuwasilisha mawazo yako na mawazo yako hayo umeyapangilia vizuri.
Quo vadimus?
vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda