Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

stevemdonya

New Member
Jul 3, 2011
4
0
vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda
 
huelew lipi?ni kwamba NACTE wamesajili st.joseph bila kufatilia ubora wao hata wakienda kukagua wana toa taarifa kabla ya kwenda,hakuna facilities za kutoa degree na mazingira mabovu..balaa ukifatilia elimu za walim wao wengi si nzuri..UDOM serikali wanaendesha kisiasa watu hawasomi vile inavyotakiwa
 
Kumbe si TCU

kurudiarudia mada ni dalili ya kuishiwa mawazo,UDOM imekua ikizungumziwa too much kwa mada za aina ile ile na hakuna hata moja inayo-sugest solutions ya matatizo ya UDOM,kaz ni kuponda tu,huo sio u-great thinker,kuwa great thinker ni pamoja na kutoa solns sio kuponda 2 ka mipasho
 
Bora uongee naona yote ni yaleyale tu kwenye ishu za vyuo.
 
na hayo hayo sababu ndo viongoz wa kesho mstakabhali wa nchi upo kwao..vyuo bor vipo DIT wapo safii,solution ni NACTE kwa st,joseph UDOM serikali itoe siasa mbona maelezo yalitosha kukufanya uone solution ni nn
 
kurudiarudia mada ni dalili ya kuishiwa mawazo,UDOM imekua ikizungumziwa too much kwa mada za aina ile ile na hakuna hata moja inayo-sugest solutions ya matatizo ya UDOM,kaz ni kuponda tu,huo sio u-great thinker,kuwa great thinker ni pamoja na kutoa solns sio kuponda 2 ka mipasho

Kwa udom solution ni kubadili viongozi wote (vc, arc na pfa). hili Pinda analijua sana ili amezidiwa nguvu na jk
 
Hamna kuulizana ubora wa digrii kwenye kuutafuta ukada. Wakijua kusoma na kuandika basi watatekeleza ahadi na kusimamia mawazo ya CCM inatosha
 
pale panaandaliwa makada na ndiyo maana hata Mwape aliingilia kuangalia ukarabati wa majengo. Wasomi hakuna pale na atakayepingana na ukada anatimuliwa
 
UDOM ni chuo cha vilaza hatasikumoja huwezi kuta mtu mwenye div one ya ukweli akapangwa UDOM.Kule wanaenda wajinga ili waje kuwa makada wa CCM Tu.st joseph napo wizi mtupu hamna chochote si lolote.Chuo chenye hadhi na heshima Tanzania Ni UDSM peke yake.Pia hata kwenye interview huwa wanafukuzwaga kama jibwa koko.
 
sidhani kama we hata 4m 4 kama umefika,huwezi waita wenzio vilaza bana.
 
vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda

You've got to be kiddin' me!!
 
Menny Terry sikubaliani na wewe comment zako! Si kweli kwamba hakuna mwanafunzi ambae ana div one UDOM,wapo wanafunzi wengi ambao wapo pale na waliperform vizuri tuu kwenye level ya secondary! Si kweli UDSM ndo chuo pekee Tanzania,kuna vyuo vingi tuu vizuri na wanatoa product nzuri sana kwenye soko la ajira wether private au government! WAY FORWARD-Kunatakiwa kufanyika Mabadiriko makubwa ya kiutawala UDOM,chuo kisiendeshwe kwa itikadi yeyote ile ndo mabadiriko ya kweli yatafikiwa! Tuache Ushabiki wa kisiasa when it comes to critical issues kama Elimu,Uchumi,Ulinzi,Usalama,Utamaduni na Kadhalika! NI MTAZAMO WANGU TUU!
 
Back
Top Bottom