Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,904
umuhimu ni kusoma mbona mimi sikusoma advance nilivomaliza o level nilichaguliwa dit nikaanza diploma na sasa namaliza bachelor acheni kukatiza wenzenu tamaa cha umuhimu mtu kupata kazi sio ushabiki vya vyuo