mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,192
- 19,118
Zamani kilikuwa kinaitwa MUCCOBS siku hizi kinaitwa MUCO. Ni kizuri sana, kilianza kama tawi la SUA lakini kilipokomaa kikajitegemea na kuwa chuo kikuu kamili.Wakuu em tufahamishane kuhusu chu cha muccobs ama muco
Mocu ndo pa ukweli fuatilia hata ufaulu wao kwenye mitihn ya NBAAvp baaf ya mocu na mzumbe ipi bora coz niliomba mocu then mzumbe
Wana programme inayoitwa PROFESSIONAL FINANCIAL CO-OPERATIVE MANAGEMENTcertificate ya distance learning!???
Mh! Mkuu SHIEKA hapo nimetoka kapa!!!!
Hebu jielezee vizuri dada angu...
Ukisoma hiyo kozi na kufaulu vizuri unaweza kufanya kazi katika taasisi ndogondogo za fedha mfano SACCOS mbalimbali, PRIDE, FINCA, BRAC na zinginezo pia unaweza kufanya kazi benki yoyote kwa weledi mkubwa!je ni marketable pia uwanda wake wa ajira ama kujiajiri umekaaje??
kama utakua unajua scale yake ya mshahara itakua vizuri ukanilewesha tafadhali
Tembelea www.mocu.ac.tzWakuu em tufahamishane kuhusu chu cha muccobs ama muco
shosti nataka nikasome nimepata sponsor naomba namba ya yule mchepuko wetu nataka anishauri kituTembelea www.mocu.ac.tz
Ila sasa hivi kahamia chuo cha TAKWIMU nadhani wewe utakuwa unakijua maana ni huko huko kwenu "DAA".shosti nataka nikasome nimepata sponsor naomba namba ya yule mchepuko wetu nataka anishauri kitu
mi sitaki kusoma huko tena nataka kwenda udsmIla sasa hivi kahamia chuo cha TAKWIMU nadhani wewe utakuwa unakijua maana ni huko huko kwenu "DAA".
Kuhusu namba ngoja nikupe inbox/pm
Nimekupa namba inbox/pm.mi sitaki kusoma huko tena nataka kwenda udsm
shukrani sana ngoja nimpigieNimekupa namba inbox/pm.
Wasiliana naye tu atakupa mwongozo mzuri
Sawa, ila ukumbuke kupiga muda huu wa saaa za kazi hahahahahahahahahahaahashukrani sana ngoja nimpigie
ahaaa mi napiga anytime bna atajaza mwenyeweSawa, ila ukumbuke kupiga muda huu wa saaa za kazi hahahahahahahahahahaaha
tusimtibue mke mwenzetu, hahahahahahahahahahahahah
sipangiwi simu ni yangu😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
mkuu umeongea kweli tupu na sasa nasubiri graduation nipewe chet changuWana programme inayoitwa PROFESSIONAL FINANCIAL CO-OPERATIVE MANAGEMENT
hii husomwa kwa njia ya masafa. Kuna foundation course ambayo anasoma mtu yeyote alimaliza elimu ya msingi au hata aliyemaliza kidato cha nne lakini hakufaulu kwa kiwango cha masomo manne na kuendelea.
Pia wana kozi inayoitwa PC - Saccos ambayo anasoma mtu aliyemaliza form four na kufaulu masomo manne au hata mwenye elimu ya juu zaidi ya hapo. Pia walimaliza kozi ya foundation na kufaulu vizuri.
Kozi nyingine ambayo unaweza kusoma kwa njia ya masafa ni POSTGRADUATE DIPLOMA IN SACCOS MANAGEMENT.
Hongera sana sanamkuu umeongea kweli tupu na sasa nasubiri graduation nipewe chet changu
hapana sifanyi kazi huko mkuuMh NAHUJA, wewe ni mwalimu hapo nini!??
hapana sifanyi kazi huko mkuu
Hapana sijasoma huko, wala sina hata mtu ninayemjua huko mkuu Mentor.Upo vizuri..so option zilizobaki ni wewe ni alumnus ama shemeji yetu ni mwajiriwa huko!