Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,646
- 6,398
Wadau habari,
Naombeni msaada mnijuze ubora na soko la ajira kwa KOZI zinazotolewa na chuo cha ushirika Moshi hasa ile certificate ya distance learning.
Angalizo:
nimeambiwa tuu sasa naona kabla ya kwenda nipate mtazamo wa watu maana nikienda najua kale kamsemo ka mwamba ngoma huvutia kwake. Kama ntakua nimekosea nisahihishe ila naomba msaada wakujuzwa.
course inaitwa certificate of Sacco's management
je ni marketable pia uwanda wake wa ajira ama kujiajiri umekaaje??Kama ni masuala ya SACCOS basi hicho ni chuo sahihi...!
je ni marketable pia uwanda wake wa ajira ama kujiajiri umekaaje??
kama utakua unajua scale yake ya mshahara itakua vizuri ukanilewesha tafadhali
ndo wew uyo kweny picha??Wakuu em tufahamishane kuhusu chu cha muccobs ama muco
kuhusu michezo pale ndo umefika mzee.wana stadium kubwa ambayo ina michezo ya football,volleyball,riadha,netball na basketball. ni stadium nzuri na ndiyo timu kama panone inatumia ktk mechi zake za daraja la kwanza na ndipo timu za ligi kuu kama yanga na azam walicheza michezo yaokadhaa.pia uwanja huo ndipo hufanyika mashindano makubwa sana ya riadha hapa afrika mashariki yanaitwa KILIMANJARO MARATHONVeep kuhusu mazingira ya kimichezo maana c wengne michezo ndo wanawake zetu
DAAAH huko sina majibu ya detail coz sijui record zao na efficirncy ya graduates wao.bt ya Muccobs no doubt ni nzuri sana coz waliomaliza wengi naona wanapata kazi bila matataizovp baaf ya mocu na mzumbe ipi bora coz niliomba mocu then mzumbe