Arafu wapumbavu wanasema ni kampuni isiyo julikana kampuni isiyo julikana inaweza kununua kampuni rasmi wanataka kuleta siasa za CCM NA KAMPUNI FEKI ZA UWEKEZAJI TANZANIA ZISIZO JULIKANA ZA KINANANIMsiwadharau sana Tecno,wamenunua kiwanda cha simu huko ufaransa kilicho kuwa kiwanda cha simu ziitwazo Sagem.
Kwanza wanaoponda tecno awachambui tecno gani kwa iPhone gani au Samsung gani wao huwa wanasema tecno ni hovyo kwa simu yoyote ya Samsung au iPhone NK ila leo mmeanza kukubali baada ya kukubali kuwa tecno kaizidi iPhone 6 ni chamtoto sasa nataka kukufundisheni kanuni HII TECNO YA BEI FURANI IZIDISHE MARA 3 NDO UTAKUWA UMEPATA SIMU YA KUISHINDANISHA MFANO MWENYE TECNO YA LAKI 3 NI SAWA SAWA NA MWENYE SAMSUNG NA IPHONE YA LAKI 9
Sina la kuongea ila usitegemee kupanda mahindi ili uvune mpunga.Kwanza wanaoponda tecno awachambui tecno gani kwa iPhone gani au Samsung gani wao huwa wanasema tecno ni hovyo kwa simu yoyote ya Samsung au iPhone NK ila leo mmeanza kukubali baada ya kukubali kuwa tecno kaizidi iPhone 6 ni chamtoto sasa nataka kukufundisheni kanuni HII TECNO YA BEI FURANI IZIDISHE MARA 3 NDO UTAKUWA UMEPATA SIMU YA KUISHINDANISHA MFANO MWENYE TECNO YA LAKI 3 NI SAWA SAWA NA MWENYE SAMSUNG NA IPHONE YA LAKI 9
Kama TECNO hawana makao makuu, wanaweza vip kuidhamin klab kubwa kama man City?still hamtujibu maswali ya kila siku humu,
makao makuu ya Tecno yapo wapi?
na kuuziwa sagem bila kujua hilo deal lime involve nini ni kama unaeka maji kwenye chujio.
mfano TLC anatengeneza simu za Alcatel, haimaanishi technology ya Alcatel anayo TLC, uhalisia Technology yao sasa hivi anaimiliki Nokia, huwezi ukafahamu hili kwa kuangalia mambo juu juu.
soma historia yao hapa hao sagem
SAGEM - Wikipedia
mwaka 2005 walijiunga na kampuni nyengine na kuunda kampuni mpya inaitwa safran, then waka spin off biashara ya simu,
hivyo kampuni mama ya sagem ni hii hapa angalia mapato, idadi ya wafanyakazi etc utaona ukubwa wake
Safran - Wikipedia
wanatengeneza engine za ndege, rocket, security etc kifupi ni kampuni
nini kikaendelea kwa sagem wireless ambayo imetengwa na kampuni mama?
wakawa odm (shukran kwa kuileta hii tip),
ODM maana yake ni original design manufacture yaani mtu ana design kitu then anauzia wengine ili waweke logo zao (inaprove point yangu ya kutototengeneza simu hawa jamaa zetu)
mwaka 2011 ikawa mobiwire, hio sagem wakajigawanya tena.
MobiWire - Wikipedia
toka hapo ilipokuwa mobiwire na historia ikawa giza, simu za infinix zikazinduliwa, wanadai ni muungano wa Tecno, mobiwire na carlware, ila mpaka sasa hakuna data yoyote ya maana,
ila kukosekana kwa data ni proof kwamba sasa hivi inawezekana wamenunuliwa Africa.
Kama TECNO hawana makao makuu, wanaweza vip kuidhamin klab kubwa kama man City?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliko kuandika maelezo yote haya uonekane unajua zaidi kuliko wengine, ungetumia huo muda sasa kuleza hayo ulio mkosoa Chief Mkwawa,Ninachokiona hapa ni kujaribu kuorodhesha properties za attributes mbalimbali, tena ukiwa unaelezea za sumsung zaidi. Kusema maarufu, ina speed sana, inatumia storage aina ya emmc, etc., haviwezi kuwa calculated quantitative na qualitative measure. Unaelezea kuhusu sensor, megapixels, etc., kwa kusema kwa mfano sumsung ina sensor nzuri, au megapixel nyingi lakini sensor ndogo picha zitakuwa noisy or whatever. Maneno kama ndogo, nzuri, speed sana, ni maarufu, quality ndogo, kutaja spec bila kuielezea maana yake ni nini, na inachangia kwenye quality au performance ya simu kivipi hayawezi kuwa ni uchambuzi linganifu. Halafu unataja sensor kirahisi tu, na uhusino wake na megapixel na resolution ya picha. Hayo ni mambo ya signal processing na optics, yakiambatana na calculations. Unapoongelea picha unaongelea 3D object, kuna super calculations mpaka unapokuja kuiona image rendered na camera yako. Halafu kingine, mambo hayapo kirahisi kama unavyoyachukulia. Tatizo la humu hamtumii utaalamu, au huwa hamkiri kuwa sielewi vizuri au sielewi kabisa kitu fulani kinafanyaje kazi. Halafu kila kitu kina strength na weakness yake, simu sio exceptional.
Eleza technically, sio kulist technical terms, what do I mean? Badala ya kuandika 720p@240fps, autofocus, 1.4 GHz, 5 MP, etc., eleza 720p ni nini, 240fps ni nini, 1 GHz maana yake nini, MP ni nini, and then inamaanisha nini tunaposema 720p@240fps, 1.5 GHz, 12 MP, etc., huku ukilinganisha specs za sumsung na tecno, kwa kila attribute, then sum up kwa kuonyesha one is better than another.
Unaweza kufanya uchambuzi wa ubora wa kamera tu kama alivyoomba mwuuliza swali. Unapoongelea camera unaongelea mambo ya optics na signal processing. Waambie watu nini maana ya 12 MP, sensor, ni bora kwa sababu gani, kwa sababu ya material yake? Yapi? architecture yake? Ipi? Kwa sababu ya modeling (maths behind it), kwa sababu ya lens yake? Aina gani? Kwa sababu ya sampling rate? Kwa sababu ya resolution yake? etc., na kwa nini hivyo vyote ni bora kwa simu moja kuliko nyingine. Unapoongelea resolution na sensor, unaongelea light signals/photons na uwezo wa lens/camera kuona na kucapture signal, kwa quality gani (arseconds/pixels), na kwa umbali gani.
Ongea kama mtaalamu. Ujue huwezi kuulizwa swali, then dakika 2 tu tayari umepata majibu, serious? Wataalamu wanainvest muda, skills, energy, na resources zingine kufanya research, sio kitu chepesi kama unavyochukulia.
hahahaha aiseeHatimae juzi nikaimiliki hii simu mkononi nikadumu nayo kama siku 3 ya nne mashabiki wa Teccno wakafika bei wakaichukua.
Yaani camera yake inazidiwa hata Samsung Galaxy Note 3
Chenga tu.hahahaha aisee
si kweli mkuu hapo hizo ni list ya specs hakuna comparison, ngoja nikuulize maswali
-wapi wameandika aina za ram? ni ddr3 au ddr4 ni single chanell au dual chanell?
-hizo storage ni zipi? ni emmc au ufs zina speed kiasi gani?
-sensor ya camera ina ukubwa gani? ina ois?, aperture je, kama haina ois ina hata eis? inarecord 4K? kama ndio fps ngapi?, ni wide angle? etc
ukiangalia tu hayo mambo matatu utaona hakuna comparison hapo.
Inategemea mwenyewe unataka nini ukiangalia reviews za site kama Anandtech ama Gsmarena utapata mambo mengi niliyotaja hapo Juu.Je chief ni website ipi inachambua hizo specification kama hivo ulivozungumza hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app