mwathu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 403
- 210
Habari za mchana ndugu zangu,
kuna jambo ambalo nimekuwa nikilisikia sana na ninyi pia naamini mmekuwa mkiliskia sana hasa kwa taasisi zetu za kijeshi na baadhi ya mila na tamaduni zetu za kiafrika (hasa wakati wa kuoa au kuolewa) kuwa binadamu ambao miguu yao ina uvungu (kwenye unyayo) kuwa ni bora zaidi kuliko wale ambao hawana.
Ninachoomba toka kwenu hasa wajuvi wa haya mambo ni kufahamishwa kwa nini watu wanaamini hivyo na watu hao wenye miguu ya aina hiyo wana sifa gani ambazo waliokosa miguu hiyo hawana.
Samahani kama mada hii itamdhalilisha au kumsononesha mtu yeyote, nimeamua kuandika ili tuweze kuelimishana.
Nawasilisha.