Ubora wa binadamu wenye miguu yenye uvungu

Ubora wa binadamu wenye miguu yenye uvungu

Nilipata sikia wajuz wa jeshini huko wakidai uvungu huwa unaleta hewa katika buti, hvyo kufanya mguu uweze kupumua vizuri, bt kwa mtu asiye na uvungu mguu waweza haribika kwa kukosa hewa ilihali buti kwao yakaa mda mrefu zaidi ya siku moja...
 
Ume sikia.... kwann hukumuuliza akokusikilizisha....?
Alisikia kwenye radio, angemuuliza hata asingesikia muulizwaji kwa sababu mawasiliano yalikuwa one way communication.
 
Back
Top Bottom