mahalathetz
Member
- Dec 2, 2014
- 36
- 17
FAIZA
hajui psychology yeye anakupeleka google tu, hajui kuwa hayo yaweza kuwa uongo!
Hapo ndo majanga kwa wenzangu na mimi mtaalam wangu, kabla hujakiwalilisha ni vizuri ukakichambua
FAIZA
hajui psychology yeye anakupeleka google tu, hajui kuwa hayo yaweza kuwa uongo!
ushahidi tafadhali.
wewee wacha kubonga pumba, wachaga wangapi umewaona ukaconfirm hiyo.
Elimu dunia hii, very interesting. Juzi nilisoma gazeti la mwananchi kwny ile column ya ushauri kuna jamaa akiwa mdogo aliambiwa hana bahati na hataweza kuwa tajiri wala kuishi na mwanamke, kisa ana unyayo wake hauna uvungu!
Wachagga wengi wana miguu flat
Watu wasio na uvungu hawawezi kukwea miti, miguu inakuwa inateleza.
sio kweli
Kwani mtoa mada alizungumzia kabila?Wachagga wengi wana miguu flat
Kwani mtoa mada alizungumzia kabila?
Nyie ndio Iran na Wachaga Isreal eh!!
Mi sina uvungu. Na nipo fresh kote. Kutembea umbali mrefu ndio mweneye. Kukombia mi ni mchezaji mpira namba za ulinzi. Natimua mbio forwad wanakoma.
Nilishawahi sikia eti wengi wao ni wadokozi balaa,ni la kweli hili mkuu ukiwa mmoja wao!
Inawezekana na ww unakerwa na wachaga(kwa 7bu zako) kama vile Baadhi(kwa 7bu zao) wanavyokerwa na Israel.Nimewaweka wachagga kwa kuwa ni mfano mzuri kwa sababu mantiki yangu hasa ni kwamba kuwa na uvungu au kutokuwa nao hakuhusiani na 'ubora' (wa maarifa, udhibiti wa nafsi, stamina, kukimbia, kukwea miti, vipaji, pesa, mali, uwezo wa ngono, n.k.) wa mtu/watu fulani.
Hilo la Iran na Israel umepitiliza na havihusiani?
Inawezekana na ww unakerwa na wachaga(kwa 7bu zako) kama vile Baadhi(kwa 7bu zao) wanavyokerwa na Israel.
Mguu usiokuwa na uvungu kwenye nyayo .hauwezi kunyata .I mean kunyatia .kutembea bila kutoa kishindo .na kwa jeshi ni muhimu sana.kuweza kutembea bila kutoa sauti ya kishindo .that's all why na hakuna sababu yeyote nyingine