Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji.
Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza maji, yanayotoka kwenye matenki ya MORUWASA. Ni hali ya kusikitisha kwamba Usanii wa wizara hii uko nchi nzima. Ni utawala wa kubembelezana na kujisifu rangi yangu nyeupe! macho yangu yamelegea!
Taarifa za mitaani ni kwamba wafanyakazi wa MORUWASA wanafunga mabomba na badala yake maji hayo yanauzwa kwa kutumia magari ya waajiliwa hawa. Ikifika Usiku milima yote inawaka moto. Ni uchomaji kila kona ya mji. Aibu ni kwamba Mkuu wa mkoa yupo! Mkuu wa wilaya yupo! Nini thamani ya kuwa na viogozi wa ngazi hizi? Nini kazi zao za kila siku?