Baba Jesca Alimtimua Abood Kwa Maneno MakavuBora hayati angekuwepo kwa huu uzi tu kuna mtu ofisini asingekuwepo sasahivi!
Wewe ni rafiki yangu ila kwabili hapanaBaba Jesca Alimtimua Abood Kwa Maneno Makavu
Kazi Kuleta Bus Watu Wakifa Ukazike
Kajifunze kwanza tofauti ya r na l ndiyo uje hapa.Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji.
Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza maji, yanayotoka kwenye matenki ya MORUWASA. Ni hali ya kusikitisha kwamba Usanii wa wizara hii uko nchi nzima. Ni utawala wa kubembelezana na kujisifu rangi yangu nyeupe! macho yangu yamelegea!
Taarifa za mitaani ni kwamba wafanyakazi wa MORUWASA wanafunga mabomba na badala yake maji hayo yanauzwa kwa kutumia magari ya waajiliwa hawa. Ikifika Usiku milima yote inawaka moto. Ni uchomaji kila kona ya mji. Aibu ni kwamba Mkuu wa mkoa yupo! Mkuu wa wilaya yupo! Nini thamani ya kuwa na viogozi wa ngazi hizi? Nini kazi zao za kila siku?
Abood ndio zake kutoa mabus kwenye misiba ila kutatua matatizo mengine ya wananchi kazubaa sana. Sijui kwanini alipata kuraWewe ni rafiki yangu ila kwabili hapana
Kwani wewe sio mwalimu umfundishe?Kajifunze kwanza tofauti ya r na l ndiyo uje hapa.
Ila mjini maji si yapo kule mazimbu?Moro maji safi ni mtihani kama kijijini vile. Watu wengi wanaishi moro wao bado wana miundombinu ya mwaka 47 population watu 2000
Sehemu kubwa ya mji tuseme ina mgao wa maji. Mji maarufu kama morogoro halafu maji yanatoka mara moja kwa wiki kweliIla mjini maji si yapo kule mazimbu?
Umewaza kisukuma zaidi, I thought you were from civilized societyBora hayati angekuwepo kwa huu uzi tu kuna mtu ofisini asingekuwepo sasahivi!
Dah mambo ya ajabu sana basi! Kipindi nakua maji yalikuwa ni 24/7 yako bombani na ni hapo mazimbu ndipo nilikuwa naishi!Sehemu kubwa ya mji tuseme ina mgao wa maji. Mji maarufu kama morogoro halafu maji yanatoka mara moja kwa wiki kweli
Sasa mambo yamebadilika. Zamani watu walikua wachache maji yalitosha lakin sasa watu ni wengi mji umetanuka lakini wao bado wana miundo mbinu ya zamani inashindwa ku-accommodate watu wengi. Badala watafute solution wamerelax tu maofisini mwaoDah mambo ya ajabu sana basi! Kipindi nakua maji yalikuwa ni 24/7 yako bombani na ni hapo mazimbu ndipo nilikuwa naishi!
Mgao ulikuwa wa umeme tu ila maji sijawahi ona! Nilikuwa nashangaa nikija Dsm eti maji yanatoka once per week
Unaandika kama unakunwa hivi,matatizo ya maji yameletwa na mh.Rais? Au yameanza miezi 6 baada ya yeye kuwa Rais? Acha upumbavu wako na chuki.Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji.
Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza maji, yanayotoka kwenye matenki ya MORUWASA. Ni hali ya kusikitisha kwamba Usanii wa wizara hii uko nchi nzima. Ni utawala wa kubembelezana na kujisifu rangi yangu nyeupe! macho yangu yamelegea!
Taarifa za mitaani ni kwamba wafanyakazi wa MORUWASA wanafunga mabomba na badala yake maji hayo yanauzwa kwa kutumia magari ya waajiliwa hawa. Ikifika Usiku milima yote inawaka moto. Ni uchomaji kila kona ya mji. Aibu ni kwamba Mkuu wa mkoa yupo! Mkuu wa wilaya yupo! Nini thamani ya kuwa na viogozi wa ngazi hizi? Nini kazi zao za kila siku?
Hili haliwezekani na sio rahisi kihivyo kwa sababu atakeyethubutu kufanya hivyo na ni mtumishi atakuwa anataka kufia jela.Mbongo yuko radhi aharibu miundombinu ya billion 100 ili apate fida binafsi ya mils 5, kiongoz anakuwa tayari kuuza mali ya nchi ya bils 500 ili apewe v8 na mtoto wake asome nje.
Hizi ndizo akili zetu
Acha kuwa na nongwa na Waziri mchapa kazai,tukupe wewe utaweza?Waziri wa maji kazi yake ni kuzunguka na kupiga picha na mabomba pamoja na matank daily huku matatizo yakiwe palepale, kati ya wizara zinazohitaji reformation ni hii ya maji
Rais ametoa pesa za kununulia mitambo ya kuchimbia maji,kwa hiyo vuteni subira..Just imagine Moro kuna vyanzo vingi vya maji lakini wanachi wake wanaweza kosa maji hata wiki nzima
Halafu kitaa magari ya idara sijui wafanyakazo binafsi wanauza maji .
AWESO shtuka hao morowasa wakazie moja kati idara mbovu mbovu Sana hapa nchi
Jana nimepata kuona kwenye taarifa ya habari, kigogo wa Tanroad, amemvimbia RC wa DSM.Bora hayati angekuwepo kwa huu uzi tu kuna mtu ofisini asingekuwepo sasahivi!
Kama maji hayatoshi ndio ivunjwe? 😆😆.Ikivunjwa utapata maji?Kwa kweli Mamla hi ya Moro ifunjwe Niko hap toka j mos mitaah ya kihonda. Hakuna maji Ni usanii mtu mji mzima watu wanatembe na vidumu na mikokoteni
Yani kamkazia 😂 dah ni noma hela kitu kingineJana nimepata kuona kwenye taarifa ya habari, kigogo wa Tanroad, amemvimbia RC wa DSM.