Maturity is not determine by age rather than responsibilities
Unaweza ukawa mwanaume wa miaka 40 au 50 lakini hujui wajibu wako upo upo tu watu kama hao tunawaweka kwenye kundi la watoto, mwanaume ambae mpaka umkumbushe wajibu wake katika familia
Na kuna watoto ambao they are below 18 ila they are responsible enought to take care of what evver aituations comwa their way
Maturity ya akili inapimwa na uwezo wa mtu kupambanua mambo na kufanya maamuzi especialy katika jambo linalohitaji maamuzi ya haraka
Unaposema wanawake akili zao hazipevuki sio kweli..mtu ambae akili yake haijapevuka ni mtoto mdogo ambae lazima kila kitu apewe mwongozo na ndio maana anitwa mtoro.labda ungesema yale madhaifu ya kimaumbile ambayo tumeumbwa nayo kama kuonhozwa na emotions to which is nature
Sent using
Jamii Forums mobile app