Ubongo wa mwanamke haupevuki

Ubongo wa mwanamke haupevuki

Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough

Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Je nawe umetafiti ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anaongozwa na hisia,

Mfano nyumba ikivamiwa alafu akiambiwa achague mmoja afe kati ya Mume au mtoto, kwa akili za mwanamke atachagua mtoto. Hawezi kumbuka huyo mtoto kaletwa na mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utachagua nani? Unajua maumivu tunayoyapitia labor wewe? Basi ungekua umeyaexperience nadhani u geelewa kwa nini mtoto ni kila kitu kwa mwanamke

Kwa situation kama hiyo mwanaume anaweza kupambana akajitetea, huyu mtoto mdogo asiejiweza nani atamteyea kama sio mama

Ikibidi hata uhai wangu ukatishwe kwa ajili ya kumuokoa mtoto

Sasa iyo labour ungeenda bila yeye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm wananichosha tu kwenye kuchelewa kila sehem. Hata kwenye kukata kiu, Unapiga mpk goli 3. eti yy hasikii hujamuandaa cjui wakiwaga faragha wanavuliwa nguo hua wanajua ni kuogelea ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka umeona mbali yaani unapiga dk30 hadi 45 mpk nyote mnalowa jasho,lkn bado anakwambia hajakiona kilele chake, sijui wanakuwaga wanawaza nini?Na hii huwatokea sana wanawake wembamba!!But wale wanene hadi raha linakojoa hadi mara 6 wakati mwanamme hata hajarusha wadhungu baada ya hapo linapiga usingizi.
Ila twembamba sasa unakunguta mpk K inafanana chapati au utadhani imengolewa but kako tu macho kodo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough

Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uhalisia tu mchungu mwanamke hana uwezo mkubwa wa kukabili changamoto nzito..in short baada ya dhambi uwezo wake uligeuzwa kumzunguka mwanamme....ni kosa kubwa kumwacha mwanamke ukifikri ana uwezo mkubwa wa kufkri na kufanya maamuz dhabiti, hata akifanya hvyo hawezi kuhold for long, wanawake wachache wanaoweza kwenda extra mile huwa hawawezi kuhandle familia na mara nyingi wapo single...that is nature
 
Sasa kama ni nature that means ndivyo tulivyoumbwa lakini sio mtu aje na utafiti, huo sio utafiti maana hamna aluchogundua hapo, sanasana ameangalia nature ya uumbaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe huwa tunajazwa upepo eti watoto wa Kike uwezo wao wa kufanya maamuzi yenye busara ni mkubwa, hadi kutanabaisha kwamba mwanaume aoe mwanamke mdogo kuliko yeye ili aweze kumsimamia vizuri.
 
Mamaako angekuwa hakumature leo usingekuwepo hapa duniani. Kakulea ukiwa hujui lolote lile kakufuta kinyesi chako na kukuogesha kukupa chakula kukuvalisha na kukutibu kwa madaktari ulipokuwa mgonjwa. Leo unakuja humu kuandika upumbavu wako wa kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake.

Kwa mujibu wa uchunguzi wanasayansi kutoka Marekani, "UBONGO WA BINADAMU(ME) UNA UWEZO WA KUTOA MAAMUZI YA BUSARA/SAHIHI KWA ASILIMIA KUBWA PALE ANAPO FIKISHA UMRI WA MIAKA 25"

Hali hii inaweza kuchelewa mpaka kufikia umri wa miaka 35 kwa wanaume, Na kwa wanawake asilimia 85 huishi adi kufikia uzee bila kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi!

Kwa lugha rahisi inasemekana "The woman's brain never matures"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamaako angekuwa hakumature leo usingekuwepo hapa duniani. Kakulea ukiwa hujui lolote lile kakufuta kinyesi chako na kukuogesha kukupa chakula kukuvalisha na kukutibu kwa madaktari ulipokuwa mgonjwa. Leo unakuja humu kuandika upumbavu wako wa kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake.
Sija dhalilisha mtu na unavyosema mama alinifuta mavi, una uhakika unayajua maisha yangu, unajua nilivyo lelewa?

Mwanamke ni kiumbe dhaifu, mama yangu,bibi, mke wote ni dhaifu... Hata kwenye vitabu vya dini! Nawapenda sana! ila ukweli haupingiki

This could be true,ndio maana Mungu ametuambia tuishi nao kwa akili.After all Eve was cheated and not Adam,and even today Women are easily cheated!
 
Vitabu vya dini ambao hao viongozi wa dini wanaingilia kinyume cha maumbile watoto wa kiume na kufanya juu chini kuficha maovu yao kwa sababu wao akili zao ZIMEPEVUKA na si viumbe DHAIFU! Toa UPUUZI WAKO HAPA!

Sija dhalilisha mtu na unavyosema mama alinifuta mavi, una uhakika unayajua maisha yangu, unajua nilivyo lelewa?

Mwanamke ni kiumbe dhaifu, mama yangu,bibi, mke wote ni dhaifu... Hata kwenye vitabu vya dini! Nawapenda sana! ila ukweli haupingiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamaako angekuwa hakumature leo usingekuwepo hapa duniani. Kakulea ukiwa hujui lolote lile kakufuta kinyesi chako na kukuogesha kukupa chakula kukuvalisha na kukutibu kwa madaktari ulipokuwa mgonjwa. Leo unakuja humu kuandika upumbavu wako wa kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake.
I differ with you,hawaja dhalilishwa mkuu.Huu ni ukweli ulio wazi.Kama umemchunguza mkeo vizuri utakuwa umeliona hili,they are easily cheated.To prove this Eve was cheated by Satan not Adam.Satan new that he will not be able to cheat Adam,that is why he opted for Eve.And furthermore God instructed us to live with women with care.Why?They have what I would call childish behaviour?
 
Nani aliyekwambia nina mke? Acha kujifanya unanifahamu. Kwani wanaume hawacheat? Asiyepevuka kiakili hawezi kuzifanya kazi tena wakati mwingine kwa ufanisi mkubwa kuliko ME udaktari, uhandisi, uhasibu etc na wengine wanaziongoza hata nchi zao tena vizuri tu.

Acheni kuja humu na dhana zenu potofu za kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake.

Sasa huyo Adam aliyepevuka kiakili ikawaje tena akubali ushauri wa mwenye akili isiyopevuka na kula tunda?

Ondoeni vichwani mwenu mawazo ya mwaka 47.

I differ with you,hawaja dhalilishwa mkuu.Huu ni ukweli ulio wazi.Kama umemchunguza mkeo vizuri utakuwa umeliona hili,they are easily cheated.To prove this Eve was cheated by Satan not Adam.Satan new that he will not be able to cheat Adam,that is why he opted for Eve.And furthermore God instructed us to live with women with care.Why?They have,should I say childish behaviour?
 
Nani aliyekwambia nina mke? Acha kujifanya unanifahamu. Kwani wanaume hawacheat? Asiyepevuka kiakili hawezi kuzifanya kazi tena wakati mwingine kwa ufanisi mkubwa kuliko ME udaktari, uhandisi, uhasibu etc na wengine wanaziongoza hata nchi zao tena vizuri tu.

Acheni kuja humu na dhana zenu potofu za kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake.

Sasa huyo Adam aliyepevuka kiakili ikawaje tena akubali ushauri wa mwenye akili isiyopevuka na kula tunda?

Ondoeni vichwani mwenu mawazo ya mwaka 47.
Huoni ni makosa kula tunda! Je kama sio mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom