Ubongo wa mwanamke haupevuki

Ubongo wa mwanamke haupevuki

Nani aliyekwambia nina mke? Acha kujifanya unanifahamu. Kwani wanaume hawacheat? Asiyepevuka kiakili hawezi kuzifanya kazi tena wakati mwingine kwa ufanisi mkubwa kuliko ME udaktari, uhandisi, uhasibu etc na wengine wanaziongoza hata nchi zao tena vizuri tu.

Acheni kuja humu na dhana zenu potofu za kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake.

Sasa huyo Adam aliyepevuka kiakili ikawaje tena akubali ushauri wa mwenye akili isiyopevuka na kula tunda?

Ondoeni vichwani mwenu mawazo ya mwaka 47.

Hongera sana Mkuu kwa kuwa na Free Thinking
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani hata iwe ndoa ya mwezini, wanawake wote ndio nature yetu, hatuwezi kuacha mtoto,

Ila wanaume wao wenye upeo mkubwa na akili zinazopevuka ikitokea hatari yuko radhi aokoe mchepuko amwache mtoto anatekekea

Sent using Jamii Forums mobile app
ivi watoto utaishi nao mpk kufa? Watoto wataoa na kuolewa lakini utabaki na mume wako... Jifunze kuwa na mawazo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ivi watoto utaishi nao mpk kufa? Watoto wataoa na kuolewa lakini utabaki na mume wako... Jifunze kuwa na mawazo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama wataolewa ila bado ni watoto, ni damu yangu, uchungu nikio nao kwao hauwezi kufanana na uchungu nikio nao kwa mume ambae hata undugu nae sina, unamuokoa mume halafu kesho na kesho kutwa anakuacha anaoa mwingine, ila your kids will stand by your side forever no matter what and mothers always stand by their kinds hata kama dunia nzima ikirudi nyuma

Mfano mzuri ni mama yako mzazi, nina uhakika amesimama na wewe in so many ways hata pale baba aliporudi nyuma

Hata ukifanya kosa au jambo ambalo jamii itakutenga ila mama hawezi kukutenga

Tupo pamoja mpaka hapo

Simaanishi kwamba hatuwapendi waume zetu Nooo tunawapenda sana ila ikitokea situation of no choice..uchague kuokoa mume au mtoto honestly i will go for the kids ila kama kuna choice ya kuokoa wote i will go for both

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough

Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina la kuongeza Mkuu.Maana Ni SUMARI LA MOTO NDANI YA DONDA NDUGU!
 
Vitabu vya dini ambao hao viongozi wa dini wanaingilia kinyume cha maumbile watoto wa kiume na kufanya juu chini kuficha maovu yao kwa sababu wao akili zao ZIMEPEVUKA na si viumbe DHAIFU! Toa UPUUZI WAKO HAPA!
Tofautisha viongozi wa "dini" na "maandiko matakatifu" mkuu! Naomba uelewe kwamba "Dini" haina uhusiano na "maandiko matakatifu",so automatically viongozi wa "dini" hawana uhusiano na "maandiko matakatifu." Mwisho kumbuka kwamba si kila yanoyoitwa "maandiko matakatifu" kweli ni matakatifu.Mwenye akili atanielewa.
 
Weekend hii wametuandama sana sijui kuna nini au hasira za mpira wanatuangushia sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Hili nitasimama na WANAWAKE,siwezi ona eti Mama yangu AKILI yake haipevuki wakati alituzaa mapacha 4 kwa Mara moja, baba ilipofariki tukiwa bado wadogo mama alidhumulumiwa kila kitu na ndugu wa baba lakini KWA UPEVU WA AKILI ALIOJAALIWA HAKUTUACHA WANAE TULIPOKUWA NA NJAA ALITULISHA,ALITUVISHA,TULIPO UGUA TULITIBIWA ,TULIPO HITAJI ELIMU ALIHAKIKISHA TUNAIPATA VEMA hakuthubutu kutafuta mchepuko ili atutunze!! Mleta mada akajitafakari UPYA!!! HAKUNA KAMA MAMA UOEVU WA AKILI YA MWANAMKE,MWANAMUME HAUFIKII ASILAN!
 
Hou
Kwa mujibu wa uchunguzi wanasayansi kutoka Marekani, "UBONGO WA BINADAMU(ME) UNA UWEZO WA KUTOA MAAMUZI YA BUSARA/SAHIHI KWA ASILIMIA KUBWA PALE ANAPO FIKISHA UMRI WA MIAKA 25"

Hali hii inaweza kuchelewa mpaka kufikia umri wa miaka 35 kwa wanaume, Na kwa wanawake asilimia 85 huishi adi kufikia uzee bila kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi!

Kwa lugha rahisi inasemekana "The woman's brain never matures"

Sent using Jamii Forums mobile app
Usione pevuka Ni ubongo wako mkuihivi Kati ya ubongo wa MWANAMUME na MWANAMKE ubongo wa wanani Ni sawa na wa kuku?
 
Katika Hili nitasimama na WANAWAKE,siwezi ona eti Mama yangu AKILI yake haipevuki wakati alituzaa mapacha 4 kwa Mara moja, baba ilipofariki tukiwa bado wadogo mama alidhumulumiwa kila kitu na ndugu wa baba lakini KWA UPEVU WA AKILI ALIOJAALIWA HAKUTUACHA WANAE TULIPOKUWA NA NJAA ALITULISHA,ALITUVISHA,TULIPO UGUA TULITIBIWA ,TULIPO HITAJI ELIMU ALIHAKIKISHA TUNAIPATA VEMA hakuthubutu kutafuta mchepuko ili atutunze!! Mleta mada akajitafakari UPYA!!! HAKUNA KAMA MAMA UOEVU WA AKILI YA MWANAMKE,MWANAMUME HAUFIKII ASILAN!
Hahah pole huo ni utatafiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbavu weye! Sasa hao viongozi wa dini hawatakiwi kuheshimu hayo maandiko matakatifu ya dini wanazoziongoza? Au kwa kuwa akili zao ZIMEPEVUKA wanaruhusiwa kuyadharau na kufanya watakavyo kulawiti watoto wa kiume na kuangalia pembeni pale kwenye maovu chungu nzima. Kwanini wahubiri maneno matakatifu kwa waumini wao wakati wao wenyewe wanafanya tofauti? Akili zao ZIMEPEVUKA siyo. Akili za wapi hizi? 😳

Tofautisha viongozi wa "dini" na "maandiko matakatifu" mkuu! Naomba uelewe kwamba "Dini" haina uhusiano na "maandiko matakatifu",so automatically viongozi wa "dini" hawana uhusiano na "maandiko matakatifu." Mwisho kumbuka kwamba si kila yanoyoitwa "maandiko matakatifu" kweli ni matakatifu.Mwenye akili atanielewa.
 
Vitabu vya dini ambao hao viongozi wa dini wanaingilia kinyume cha maumbile watoto wa kiume na kufanya juu chini kuficha maovu yao kwa sababu wao akili zao ZIMEPEVUKA na si viumbe DHAIFU! Toa UPUUZI WAKO HAPA!
Mkuu unapigania usichokijua.Sijui kama unajua kwamba kitu unachokitetea ni mpango wa kishetani wa kuiharibu kabisa familia kama tunavyoijua leo, ili Shetani aweze kuitawala dunia.Kwa bahati mbaya this time around, again,mwanamke anatumiwa na Shetani kufanya uovu huo.It seems women have not learnt anything from their mistakes in the garden of Eden.Sikiliza kitu hiki cha kutisha kabisa ambacho Shetani anapanga kuwafanyia wanadamu kwa kutumia wanawake.Mpango huu upo kwenye hatua za juu sana za utekelezaji.Beijing,50/50 in politics,wanawake kuwezeshwa by various means is part of that evil plan.Nashangaa na wewe umo humo mkuu,get out,you are a disgrace to your fellow men.

Back
Top Bottom