Ubongo wa mwanamke haupevuki

Ubongo wa mwanamke haupevuki

Kuna jinsi yoyote ambayo mtu anaweza kuunga mkono utafiti huu bila kuonekana kwamba anawadhalilisha wanawake?
 
Mimi nadhani Me na Ke tumeumbwa/tumewekwa pamoja ili ku-balance mapungufu yetu, kama mke hana ujasiri wa kufanya rational decisions/judgement, basi mume atasimama hapo, kama mume hana skills za malezi, mke atasimama nafasi hiyo.

Dunia hii hakuna jinsia iliyopewa uwezo wa kila kitu, mapungufu ya Me yanafunikwa na uwezo wa Ke and vice versa is true.

Ingekua uzi wangu, ningewaomba Mods ufungiwe comments tena maana yours has closed the topic!

*#Life= Darkness 》 Light, Right 》 Left, Male 》Female
We all need each other to exist hakuna zaidi ya mwenzie kati ya Me & Ke, just perception!
 
Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough

Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa pia umeonyesha kuwa kweli ubongo wenu haupevuki,umeongea pumba tupu,sikulaumu lakini,maana ukipata akili means hautokuwa mwanamke tena...you will be a man,so be how you are..idiot!
 
Ingekua uzi wangu, ningewaomba Mods ufungiwe comments tena maana yours has closed the topic!

*#Life= Darkness 》 Light, Right 》 Left, Male 》Female
We all need each other to exist hakuna zaidi ya mwenzie kati ya Me & Ke, just perception!

Mkuu tuna hulka ya kuona jinsia moja ipo juu ya nyingine, tusijue kuwa tupo ili ku-balance.
 
Mkuu tuna hulka ya kuona jinsia moja ipo juu ya nyingine, tusijue kuwa tupo ili ku-balance.

My sentiments exactly!
Siku binaadam akiacha kushindana na Kivuri chake mwenyewe, ndio siku ya kuutambua ukweli wa Uumbaji!

Hawezi kuwepo mwanaume bila mwanamke na wala hawezi kuwepo mwanamke bila mwanaume, no matter the scientific innovations taking place in the international laboratories, still male & female DNA is the source of all Life, it was designed that way, it will remain that way to the day of expiration or redesigning or infinity.
 
Hapa pia umeonyesha kuwa kweli ubongo wenu haupevuki,umeongea pumba tupu,sikulaumu lakini,maana ukipata akili means hautokuwa mwanamke tena...you will be a man,so be how you are..idiot!

Try and read this with your inner voice or subconscious mind then uone vile una sound pathetic!¿

Why is it necessary for one to Be down for the other to be up?! As much as you found yourself alive hapa duniani that is as much as ulivyojikuta you are a male!
 
Sasa ikawaje akapewa majukumu mazito hivyo kama akili yake haipevuki? Kwanini asipewe mwanaume ambaye akili yake inapevuka?
Wewe kama ni boss ofisini kwako unaweza kumpa mtu kazi yako akufanyie wakati unajua fika huyu hana uwezo wa kuifanya?

Umekaa huko ukajisikia tu kudhalilisha wanawake ili wajione wao sio kitu ukaja na hili bandiko lako la kipuuzi eti utafiti ni mtafiti gani anaweza kupoteza mda wake kwa jambo la kupuuzi kama hili. Watafiti wako bize huko wanatafuta solutions za kumaliza majanga yanayoikumba dunia kila siku.

Alafu nimegundua kitu, wanaume wasiojiamini waliozidiwa vitu vingi na wanawake ndo huwa wanakuja na mabandiko kama haya ili wajipooze mioyo yao kwa kuwashushwa wanawake. Pambana na haki yako baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuna watu wana reasoning capacity ndogo sana, sasa hata kama ni utafiti yeye ameshindwa kuulinganisha na hali halisi ya maisha na majukumu ya mwanamke, anakurupuka tu kuanzisha uzi

Mimi nlikuwa cjui ndo maana nkafungua uzi! Na nimedhibitisha ni kweli ! Asante kwa ushirikiano wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom