BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Una ufinyu wa akili weye tena mkubwa sana. Hivi wanaume wangapi duniani wameharibu familia zao lakini hilo hutaki kuliona? Kwa sababu wana akili ZILIZOPEVUKA?
Tia akili kichwani na uache kuandika upuuzi wa kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake kwa mambo yale yale ambayo wanaume chungu nzima wanayafanya kwa miaka mingi tu.
Tia akili kichwani na uache kuandika upuuzi wa kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake kwa mambo yale yale ambayo wanaume chungu nzima wanayafanya kwa miaka mingi tu.
Mkuu unapigania usichokijua.Sijui kama unajua kwamba kitu unachokitetea ni mpango wa kishetani wa kuiharibu kabisa familia kama tunavyoijua ili Shetani aweze kuitawala dunia.Kwa bahati mbaya this time around kwa Mara nyingine tena anamtumia mwanamke kufanya kazi hivyo.It seems the women have not learnt anything.Sikiliza kitu hili cha kutisha kabisa.