Ubongo wa mwanamke haupevuki

Ubongo wa mwanamke haupevuki

Kwa mujibu wa uchunguzi wanasayansi kutoka Marekani, "UBONGO WA BINADAMU(ME) UNA UWEZO WA KUTOA MAAMUZI YA BUSARA/SAHIHI KWA ASILIMIA KUBWA PALE ANAPO FIKISHA UMRI WA MIAKA 25"

Hali hii inaweza kuchelewa mpaka kufikia umri wa miaka 35 kwa wanaume, Na kwa wanawake asilimia 85 huishi adi kufikia uzee bila kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi!

Kwa lugha rahisi inasemekana "The woman's brain never matures"

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichokiandika kinadhihirisha dhahiri ulivyo punguani!
 
Kwa mujibu wa uchunguzi wanasayansi kutoka Marekani, "UBONGO WA BINADAMU(ME) UNA UWEZO WA KUTOA MAAMUZI YA BUSARA/SAHIHI KWA ASILIMIA KUBWA PALE ANAPO FIKISHA UMRI WA MIAKA 25"

Hali hii inaweza kuchelewa mpaka kufikia umri wa miaka 35 kwa wanaume, Na kwa wanawake asilimia 85 huishi adi kufikia uzee bila kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi!

Kwa lugha rahisi inasemekana "The woman's brain never matures"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sky Eclat na Faiza Foxy mmeyasikia haya maneno??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough

Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika! Huyo mtafiti wao uchwara akojoe akalale! Bado hajawajua wanawake vizuri.
 
Kwa mujibu wa uchunguzi wanasayansi kutoka Marekani, "UBONGO WA BINADAMU(ME) UNA UWEZO WA KUTOA MAAMUZI YA BUSARA/SAHIHI KWA ASILIMIA KUBWA PALE ANAPO FIKISHA UMRI WA MIAKA 25"

Hali hii inaweza kuchelewa mpaka kufikia umri wa miaka 35 kwa wanaume, Na kwa wanawake asilimia 85 huishi adi kufikia uzee bila kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi!

Kwa lugha rahisi inasemekana "The woman's brain never matures"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yako aliyekuzaa katika kundi hilo yupo?? Au ulishushwa?? Unapokejeli wanawake lazima ujue mama yako yupo!!!!
 
Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough

Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono. Naona huyu kafanya utafiti kupitia mama, bibi, shangazi, dada zake wote ndo kaja na hii conclusion.
Huyu katoka kwa wale wanawake mashambenga wasiojielewa, wasiothamini familia na wasio na elimu period.
 
Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough

Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata watoto wanaweza kulea watoto mkuu, utafiti hupingwa kwa tafiti nadhani mpaka hapa bado hujatafiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don’t trust a woman even you’re mother.Kuna sehemu nilisoma andiko hilo.

iPhone 7plus
 
Mimi nadhani Me na Ke tumeumbwa/tumewekwa pamoja ili ku-balance mapungufu yetu, kama mke hana ujasiri wa kufanya rational decisions/judgement, basi mume atasimama hapo, kama mume hana skills za malezi, mke atasimama nafasi hiyo.

Dunia hii hakuna jinsia iliyopewa uwezo wa kila kitu, mapungufu ya Me yanafunikwa na uwezo wa Ke and vice versa is true.
 
Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough

Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Dear Mtende, how are things?
Mimi nawaheshimu sana wanawake, hasa wenye watoto!
Nikichukulia mfano mama yangu mzazi, hapo ndio huwa nawavulia kofia wamama wa kiafrika!
Mama yangu kaniokoa na mambo mazito sana kwa kufanya maamuzi ya haraka sana!
Mfano:
1; nikiwa na miaka minne, nilipungukiwa damu mpaka kufikisha 15, hapo baba ananiangalia tu bila msaada. Mama kaninyakua na kunikimbiza hospitali usiku wa manane, mwendo wa 40kms kwa miguu, nikanusurika! Baba kakaa ndani anaangalia tu! Nikapona!
2: Mama kanibeba tena mgongoni nikiwa na miaka 13, mkubwa kabisa, mchana wa jua kali jua likiwa
Wewe utachagua nani? Unajua maumivu tunayoyapitia labor wewe? Basi ungekua umeyaexperience nadhani u geelewa kwa nini mtoto ni kila kitu kwa mwanamke

Kwa situation kama hiyo mwanaume anaweza kupambana akajitetea, huyu mtoto mdogo asiejiweza nani atamteyea kama sio mama

Ikibidi hata uhai wangu ukatishwe kwa ajili ya kumuokoa mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama nanii, umeongea kwa hisia sana! Akina mama mnapitia makubwa!
Mama yangu aliniokoa nikiwa na damu 15 tu, baba ali-mute tu, mama akaniokoa mpaka leo mimi ni Mwanaume wa Miraba Minne, Mrefu na Mwenye nguvu na akili!

Akina mama mnachangia 85% ya maisha ya mtoto!

Over
 
Back
Top Bottom