Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

Waberoya ukifuata maana na maisha ya (jina) lako kwenye msaafu wa Biblia hao jamaa hawakuwa kama wewe unavyoonekana kupitia comment yako.

Ila umekurupuka kujibu na yawezekana ule msemo wa watz wavivu kusoma ulikuathiri, mtia mada ameongelea kitu tofauti na ulichoandika kujibu hoja.

Kwa jibu la platozoom linakufaa sana na nime_like KUBWA, badirika ndugu.

Post hii hapa #6


pole sana mkuu, sikujua kumbe mpaka ume quote jina langu ili unipe wosia?

ha ha ha

mwambie mtoa hoja kwa vigezo vyake na hoja yake, ataje wabobezi wa sheria humu nchini!! then utanielewa

kama ni slow learner huwezi kunielewa kirahisi

kwa kifupi...nilikubaliana naye na kumueleza '' ndio situation ilivyo'...I was like telling him...you will never find one!

yuko sahihi kabisa, ila kwa tanzania..fani gani mtu anaweza kujiita mbobezi na system hii ya elimu na kusoma kujaza degree ili kupandishwa cheo??

pole sana
 
Kumbe Magufuli aliwekwa? Nilidhani alishinda kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM?? Anyway, hilo si la muhimu.

Tatizo lako Bwana Paulo unakwepa hoja yangu ya msingi juu ya hicho unachokiongelea. Nimekuuliza kwanini alikuwa fast tracked? Nini cha kipekee sana juu yake katika fani ya sheria?

Napenda nifahamu merits alizonazo Tulia Ackson zaidi ya wengine, zilizopelekea yeye 'ateuliwe' na 'system'. Otherwise labda unataka kusema wateuzi hawakuzingatia merits kama kigezo. Na kama ndivyo, sielewi kwanini unabisha kuwa hiyo inamaanisha kubebwa. Kubebwa nikimaanisha hana merits zilizo-justify fast tracking na maneno ya Tulia na CCM kusema ni mbobezi wa sheria.

Pengine niendane na ulichosema juu ya 'kuteuliwa' kwa Magufuli na 'system'. Sababu zilizotolewa ni msafi, hana makundi na mchapakazi. Hizi ndizo zilikuwa merits zake juu ya wagombea wengine.

Sasa with all people in the field of law Tanzania, Tulia ana merits zipi juu yao? Maana nimeshaonyesha kuwa kama kigezo ni ubobezi kwenye sheria, basi yeye hana. Tafadhali bwana Paulo, mbona hili swali unalikimbia? Nimekwambia nitajie ili uni-prove wrong kwamba hajabebwa.

Mkuu huku unakokwenda unazidi kuingia chaka!!!!
Dr Tulia hakuchaguliwa na system kwasababu tu ya "ubobezi" kwa mujibu wa vigezo vyao vya ubobezi

Dr Tulia amechaguliwa kwasababu system imemuona ndio mtu stahiki anaye faa iwe kwa mabaya au mazuri....... Ndio wamemuona anafaa, awe mbobezi au asiwe mbobezi kama ilivyokuwa kwa mama Anna Makinda

Sasa kama system ilimlenga yeye na ikatokea ni mbobezi basi ni lazima watahubiri ubobezi wake kumpamba lakini mind that.... Ubobezi haikuwa kigezo cha lazima kumpata naibu spika
Kudhihirisha hilo mbona Spika sio mbobezi?

Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kwanjambo jepesi
Kama utasimamia hoja yako kuu ubobezi wake ni nini ntakuelewa
Lakini huko unakokwenda siko kuanza kulia lia amebebwa
Amebebwaje kwa kigezo cha ubobezi?
Angepewa uspika basi kama issue ilikua ni ubobezi tu!!!
 
Kuhusu swala la kuwa fast tracked isikusumbue mkuu thats how system work
Unakumbuka fast track iliotumika kumtoa Dr Slaa kuwa candidate wa CDM na kupewa Lowasa
Kuna mambo mengi huwezi kuyajua
 
Mkuu huku unakokwenda unazidi kuingia chaka!!!!
Dr Tulia hakuchaguliwa na system kwasababu tu ya "ubobezi" kwa mujibu wa vigezo vyao vya ubobezi

Dr Tulia amechaguliwa kwasababu system imemuona ndio mtu stahiki anaye faa iwe kwa mabaya au mazuri....... Ndio wamemuona anafaa, awe mbobezi au asiwe mbobezi kama ilivyokuwa kwa mama Anna Makinda

Sasa kama system ilimlenga yeye na ikatokea ni mbobezi basi ni lazima watahubiri ubobezi wake kumpamba lakini mind that.... Ubobezi haikuwa kigezo cha lazima kumpata naibu spika
Kudhihirisha hilo mbona Spika sio mbobezi?

Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kwanjambo jepesi
Kama utasimamia hoja yako kuu ubobezi wake ni nini ntakuelewa
Lakini huko unakokwenda siko kuanza kulia lia amebebwa
Amebebwaje kwa kigezo cha ubobezi?
Angepewa uspika basi kama issue ilikua ni ubobezi tu!!!

Doh! Is this all you got?
 
,mleta uzi ungeingia kene dikshonari ukajua maana ya neno bobea usingeandika hayo yote ulioandika.bobea kwa kingereza chepesi tunasema luspesholaizi. daktari tulia kabobea ?spesholaiz katika sheria ,napinga hoja yako haina mashiko
 
I feel sorry and pity for you....keep the good 'job' going....ciao

Mkuu i feel the same way too for you

Achana na habari za kubebwa, jikite na hoja yako ya ni mbobezi au la!!!!!!
 
pole sana mkuu, sikujua kumbe mpaka ume quote jina langu ili unipe wosia?

ha ha ha

mwambie mtoa hoja kwa vigezo vyake na hoja yake, ataje wabobezi wa sheria humu nchini!! then utanielewa

kama ni slow learner huwezi kunielewa kirahisi

kwa kifupi...nilikubaliana naye na kumueleza '' ndio situation ilivyo'...I was like telling him...you will never find one!

yuko sahihi kabisa, ila kwa tanzania..fani gani mtu anaweza kujiita mbobezi na system hii ya elimu na kusoma kujaza degree ili kupandishwa cheo??

pole sana

Mgongo Fimbo the Only Professor of Land Law...
 
Hakuna kesi aliyowahi kushindwa sio Kushinda. Kesi ya Mita mia mbili muulize hukumu kibatala. Leo Tundu lissu alipapatika kuhusu ujio wa Dr.Shein kapigwa vifungu akaamua kukusanya Mifugo ya Fisadi akaitoa nje ya Bunge

Mwanangu kua uyaone!Haloo! Haya bana.
 
pole sana mkuu, sikujua kumbe mpaka ume quote jina langu ili unipe wosia?

ha ha ha

mwambie mtoa hoja kwa vigezo vyake na hoja yake, ataje wabobezi wa sheria humu nchini!! then utanielewa

kama ni slow learner huwezi kunielewa kirahisi

kwa kifupi...nilikubaliana naye na kumueleza '' ndio situation ilivyo'...I was like telling him...you will never find one!

yuko sahihi kabisa, ila kwa tanzania..fani gani mtu anaweza kujiita mbobezi na system hii ya elimu na kusoma kujaza degree ili kupandishwa cheo??

pole sana
Wabobezi wapo kama Prof. Muhongo kabobea katika elimu ya miamba na rasilimali zake.
 
Siyo kila msomi ni mwanazuoni!

Nakumbuka siku moja kwenye kigoda cha mwalimu pale nkurumah hall, Prof. Shivji alitoa tofauti kati ya maneno haya, Msomi na mwanazuoni......toka hapo mpaka leo, najua kuwatofautisha hawa watu wawili bila hata kutambulishwa, ni kweli, sio kila msomi ni mwanazuoni, ila wanazuoni wote ni wasomi.
 
esikiiroooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Labda hili nitakubali, vinginevyo kwangu Muhongo ni mmoja tu ya watu waliobobea katika elimu ya kukalili.
 
Sawa. Nifanye kukubaliana nawe. Kwa hiyo Tulia Ackson ndiyo wa kwanza kutunukiwa hizo shahada? Ni kipi cha kipekee katika 'ubobezi' wake kushinda wengine kiasi cha kupelekea awe fast tracked kwa mwendo ule? Kumbuka justification ya fast tracking ni kwamba yeye ni mbobezi, wa kipekee na muhimu sana kuwa naibu spika mwenye ubobezi wa sheria. Kwa maana kama huo uzamaji wa ndani unaousema, si Tulia peke yake alionao hapa Tanzania.



Ebu thibitisha hili. Usiseme mambo nadharia tu. Thibitisha hao mabingwa wa sheria waliomtambua Tulia. Lete profiles zao tuweze kuona huo ubingwa wao katika sheria.

Anyway, pengine kukusaidia tu, kutambuliwa na bingwa wa fani fulani hakukufanyi uwe mbobezi kwenye fani husika. Wanafunzi wa shahada ya uzamivu waliosimamiwa na Einstein, baadhi yao hawakupata kuwa wabobezi kwa kuwa walitambuliwa na Einstein. Issa Shivji, bingwa na nguli wa sheria hapa nchini, kasimamia wanafunzi wengi tu katika shahada ya uzamivu, lakini wengine hawajaweza kuwa wabobezi.



Kwa hili sikubaliani nawe. Labda ni kigezo ambacho umekitunga wewe katika ulimwengu wako wa akademia. Lakini, katika ulimwengu wa akademia ninaoufahamu, kupingana na vigezo vya ubobezi katika fani kama nilivyoelezea, ni sawa na kupigana na ukuta. Kuwa na shahada ya uzamivu pekee hakukufanyi uwe mbobezi kwenye fani yako ndugu. Ushajiuliza kwanini kwenye akademia kuwa na shahada ya uzamivu pekee hakukuhakikishii ajira ya kudumu? Kwanini kuna masharti ya kuandika machapisho kwa viwango ambavyo vimewekwa ili uweze kudumu katika akademia?

Eti "kwa kiswahili uzamivu ndio ubobezi". Mbona uzamivu tayari ni neno la Kiswahili?
Ubarikiwe tumejifunza vya kutosha.
 
kama uko timamu kwa kujieleza kwake bungeni na majibu aliyotoa haina haja ya kujadili zaidi,,,nilitamani niset interview yake na steve sacker wa BBC ndo tungepata picha kamili,,,,cheap politics
 
Kama mbobezi kwa machapisho yasiyo nukuliwa akina Prof Issa Shivji, Prof Kabudi and others waitweje???????????
 
Katika nchi hii iliyojaa miamba na milima kila mkoa! Nitajie output impact ya Prof. Muhongo

1. Ndiye aliyefanya utafiti wa kina na kuandaa Ramani ya Kijiolojia inayoonesha miamba mbalimbali pamoja na madini ya kila aina Tanzania na tunavyoongea hiyo ramani ndiyo mwongozo kwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom