Ubinasifishaji wa Muda kwa watu wenye uthubutu

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,791
8,929
Ubinasifishaji hauko kwenye Madin tu bali hata kwa sisi.
Kama una muda na hauna kazi nao unapo fanya kazi kwa mwingine maana yake umembinasifishia muda wako.

Hivyo ukiajiriwa maana yake wewe huna kazi ya kufanya na hayo masaa 24 kwa siku hivyo unatafuta mwenye kazi na hayo masaa yako unamkodishia yeye atakulipa.

Ni sawa na Kubinafsisha muda wako kwa watu wenye knowledge na wenye maono.

CHA KUJILIZA
Je muda wako ulio ubinasifisha unapata kulingana na unacho ingiza?
Muda wako unaingizia kampuni how much na unalipwa how much?

Au ndo mambo ya Makinikia?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
ukiuelewa hii mada itakuwezesha kutumia Muda kwa umakin!! Ukiajiriwa maana yake ww ni mtumwa tena hujui umuhimu wa muda wako!!!!!! ukikubali kuajiriwa ikubidi utumie nguvu yaa ziada kufikia mafanikio
 
Ubinasifishaji hauko kwenye Madin tu bali hata kwa sisi.
Kama una muda na hauna kazi nao unapo fanya kazi kwa mwingine maana yake umembinasifishia muda wako.

Hivyo ukiajiriwa maana yake wewe huna kazi ya kufanya na hayo masaa 24 kwa siku hivyo unatafuta mwenye kazi na hayo masaa yako unamkodishia yeye atakulipa.

Ni sawa na Kubinafsisha muda wako kwa watu wenye knowledge na wenye maono.

CHA KUJILIZA
Je muda wako ulio ubinasifisha unapata kulingana na unacho ingiza?
Muda wako unaingizia kampuni how much na unalipwa how much?

Au ndo mambo ya Makinikia?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hongera kwa kujiajiri
 
Back
Top Bottom