Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,108
- 55,524
Unajua staili ngapi
Muongozo unaandaliwa . Tumsubili Umy na katibu wake wataleta muongozo.Unashaurije?
Samahani lakini mtoa mada nikikuliza dhumuni hasa la huu uzi ni ipi ntakuwa nimekukwaza???Leo nimeamua kujiripua aseee!Ni hivi sijawahi kuona bikira wala kusikia maumivu yake.
Tiririka nami.
Mimi ni msichana mzuri tu niliyelelewa kwenye maadili, sio maadili tu nadhani pia ni aina ya mtoto aliyestaarabika, Ukiachana na kustaarabika nilikuwa na akili pia darasani(kwa wale walosoma vijijini kipindi hiko kijijini mnafaulu wawili watatu basi nikajiunga secondary)
Kiufupi ni kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka namaliza masomo ya A level (changamoto zilikuwepo ukizingatia kule kwetu wanapenda rangi nyeupe lakini nilitaka nisome nimtoe mama yangu kwenye umaskini uliokithiri niliamini elimu tu ndo ingemaliza shida zote.(ningekuwa na wenge basi hata baada ya kumaliza sekondari ningeolewa make waoaji walikuwa wengi na hapa ndo huwa nasema kuna watu Mungu alishawachagua tangu wakiwa tumboni mwa mama zao.
Baada ya kumaliza form six sasa hapo kidogo niliamua kumkubali mtu alieleta nia ya kunioa sikuwa serious nilitimiza wajibu tu ila mi nilikuwa nawaza shule, ikumbukwe zamani mtu alikuwa akinitongoza namuona kama adui yangu asiyetaka nisome shule basi tukaenda hivyo hivyo akataka aanze process za kunioa nkamuwekea vikwazo mpaka akashindwa mwenyewe.
Nikaingia chuo sasa mambo ya mahusiano yalizaliwa huko kwa kuwa ni mtu wa dini nkamwambia Mungu basi kama kweli ndiye niruhusu nianze naye mahusiano basi nikakubali yale mazoea na ushawishi wake nkakubali kumpa tunda.
Sasa kiini cha mada ndo hiki, maandalizi ya kutoa tunda kwa hyu mwanamme yakaanza nikaandaa na pedi make nilishagoogle huko opera na nilikuwa mwoga hatari mara story za unaumia mara unafanyeje
siku yenyewe ilipofika mkunyenge uliingia bila shida yaani sikuona cha damu wala tone wala maumivu mmh, akauliza we si ulisema hujawahi kutana na mwanamme nkasema ndio akawa dissapointed hata mimi nilipata shida make sio kitu nilichokitegemea, lakini baada ya siku mbili akasema usiwe na shida naye hakuwa na mambo mengi nadhani pia kwakuwa nilikuwa mtu anayejiheshimu labda alisema ni kweli, mahusiano yetu yaliendelea kwa kipindi cha miaka saba mpaka tukaja kuoana.
Baada ya kusoma soma habari nkakubali kwamba uenda ilipotea kutokana na kazi ngumu na pia nilikuwa naendesha baiskeli, kwa hiyo jamani sijui mambo ya bikra.
Ndoa yangu imekuwa nzuri sana na yenye amani nami nilikuwa sijui hata staili lakini nilipambana nikawa fundi babayeyo naona hachomoi, nami sitakuja kuchepuka kamwe.
Samahani kwa uandishi mbovu kama swali nitajibu ila natumia app ya zamani ko naweza hata nisionekane app mpya imenishinda.
mmhYes alitolewa kishirikina yaani wachawi waliona huyu ndio wanaweza kwenye biashara zao za kichawi sasa wakaja wakamchezea na hakufeel chochote .
Aliamka tu fresh ila siku inayofuata alitapika akapata hedhi akadhani ni yakawaida kumbe ni ya kichawi .
Ashukuru mungu amepata mtoto .
mmhIla pia na mm nilimto....mb bint mmoja aalikuwa bikra na alinimbia hajawai kbsa kufanya hcho kitu siku nazamisha mkuyenge wangu ulipita japo kwa shda Sana uliishia ktkt nikachomoa ikalia Kama pen ya spido ila sikuweza kuzamisha lote ingawa sikuona damu pia kuwa nusu ya mkuyenge wangu ..nilishanga ila sikujali San kwani namm siyo mpnezi wa binkra
unamaanisha niniWanaume acheni kukofanya wanawake
miaka kumi na tanoUkiwa na umri gani?? Kama ni 16 basi wamefanya hivyoo yes wanasoka nao nyakati wanajua kuwa leo wewe utapata hedhi wanakuja siku moja kabla na husikii kitu chochote
inawezekana kuna tatizo pia mkuu make mi baada ya kupitia makala mbalimbali niliamua kuachana nayo na kwa mara ya kwanza nimeileta humu,kuhusu kumbukumbu za utoto kwakweli sina mpaka naanza kujitambua kwetu ni zile familia watoto nane ko sijui huko nyuma ilikuajeKumbuka vizuri mazingira ya nyumbani kwenu yalikuwaje huko nyuma. Ulikuwa unalala na nani, nani alikuwa karibu na wewe muda mwingi, je uliwahi kucheza michezo ya baba na mama utotoni huku vijana wa kiume wakiwa ni wakubwa kwako?
Umewahi kuota ndoto za kufanya mapenzi na mtu/watu unaowajua na usiowajua?
Kitu kingine kisa kama hiki kiliwahi kumtokea dada mmoja hivi namfahamu yeye aliachwa maana alionekana ni muongo shukuru Mungu mumeo alikuelewa.
Visa vya namna hii vipo, na vinawatokea wanawake wengi ila wewe umeamua kutaka kujua chanzo cha tatizo na siyo kujishughulisha na tatizo ambalo huwezi kupata ufumbuzi. Hongera utaujua ukweli siku moja.
don't be stupid i'm not here to seek attention,be positive!Hii kauli yake imekaa kiume sana. Nina shaka hasa juu ya jinsia ya muandishi. Muandiko wake umekaa kisela sana.
Kwani wewe mara ya kwanza ulisikiaje?Yaani mkuyenge ukazama bila kusita? Hukusikia maumivu au discomfort yoyote?
Yaani inavyoingia sasa hivi na ile mara ya kwanza hakuna tofauti hata kidogo?
ni kauli ipi inaonesha mi msela wakati siwezi tofautisha R na L be serious dudeHii kauli yake imekaa kiume sana. Nina shaka hasa juu ya jinsia ya muandishi. Muandiko wake umekaa kisela sana.
huo usela uko wapiDunia ina mengi, yote yanawezekana. Pengine hata utepe ulitoka kisela pia 😀
kuumia wakati wa mapenzi ni kukauka panapo mi nnachojua kama umekaa mda hujafanya inakuwa inabana sana lakini siyo maumivu,Watu wa jf mwacheni mama wa watu apumzike maana mmemushambulia kama siafu
Kama ni usukumani basi bikira ilitolewa na wahuni wewe bila kujua,kuna kajamaa kalikuwa kana uwezo wa kuwaingilia wadada usiku bila wao kuwa na makubaliano nako na asubuhi hujikita na mashahawa na hufahamu aliemwingilia ni nani,asubuhi walikuwa wanakafata na kukatukana sana wengine walikuwa wanafanya siri
Kwako Mkuyenge ukaingia bila maumivu wakati kuna wanawake wakimaliza muda mrefu pasipo kufanya mapenzi siku wakifanya huwa wanaumia sana
alafu hata siwazingatii make najua watanzania hatupendi challenge wala kujisomea nami nilishajipanga make kila mda nilikuwa nataka kuleta kisa changu ila nasita lakini leo nimeamua ko sijali chochote as long as sijuani na mtu humuWatu wa jf mwacheni mama wa watu apumzike maana mmemushambulia kama siafu
Kama ni usukumani basi bikira ilitolewa na wahuni wewe bila kujua,kuna kajamaa kalikuwa kana uwezo wa kuwaingilia wadada usiku bila wao kuwa na makubaliano nako na asubuhi hujikita na mashahawa na hufahamu aliemwingilia ni nani,asubuhi walikuwa wanakafata na kukatukana sana wengine walikuwa wanafanya siri
Kwako Mkuyenge ukaingia bila maumivu wakati kuna wanawake wakimaliza muda mrefu pasipo kufanya mapenzi siku wakifanya huwa wanaumia sana
stupidHuko kwingine ipo?.
hapana jamani kwanza kazi nyumbani zilikuwa nyingi mno na kwakuwa nilikuwa mtoto mwema kazi zote nilifanya(hii pia ilinisaidia nilienda kuishi kwa watu wakati wa masomo)ko kusema nilikuwa najipa raha kwakweli Mungu shahidiNdio maana nimegoma kuvuta Ile kitu...au alikua anajipa burudani kimasihara?
kwa akili zako hapo ni tangazo gani nafanya jaribu kupitia comments zangu sijawahi comment upuuze,think positive and accept new challengesLipia matangazo ya Biashara....
Lipia tangazooooo .....kwa akili zako hapo ni tangazo gani nafanya jaribu kupitia comments zangu sijawahi comment upuuze,think positive and accept new challenges
Ni kweli kabisa lazima ingepita kwa shida hata kama damu hazitatoka.Atakuwa na maumbile makubwa.
Unajua hata kile kiambo kimetoka kwa shughuli nyingi hilo eneo huwa limebaki limebana.
Sasa yeye hilo halikuwepo ni mpanna ikulu
mmh,kwakweli story za kukojoa nilikuwa sijui mambo ya orgasm nilianza kuyajua sanaKuna sehemu ulipata tatizo ukiwa mdogo. Kuna wale wanabaka vitoto miaka 2 huwezi kuwa na kumbukumbu.
Kwani swali la kizushi, siku ya kwanza ulikojoa?