Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Hii kampuni ilikuwa ya kwanza kuingia tanzania
Baada ya muda wakaja bolt lakini kabla ya hapo ilisemekana wameweka maagizo akiruhusiwa mwingine wanaondoka
Hata hivyo inaonekana mawazo yao yakikuwa ya kipuuzi na kijinga
wakaruhusiwa bolt
Baada ya kuruhusiwa bolt, uber wakaanza kulalamika bolt wanapendelewa ooh bolt wanaua biashara na kelele kadhaa
Wakiwa ktk kukaa waangalie shida iko wapi hawa wahuni wakaondoka
Bolt ikaendelea wakaaja na wengine wengi sijui farasi punda nk bolt wamooo
Uber wakaona jamaa wanadunda wakaaja tena wameenda sasa wameandika barua tena wanaondoka
Hivi mnajua wakati walipoondoka waliacha vijana wangapi bila kazi
Je, walipata haki zao zote nssf pssf nk
Ok nw wanaondoka tena mnajua madhara ya vijana na wazee wangapi kukosa kazi na wana familia wapendwa wana watoto wanasoma shule
Maombi yangu kwa Mungu awasaidie sana sana mfanikiwe ktk shughuli zenu baada ya kuondoka hii kampuni
Tunaomba serikali wakiiruhusu wawape na masharti ya kulinda ajira za vijana wetu
Wajue ajira sio dawa ya ujana kila mtu ananunua anatumia