Dabaga1998
JF-Expert Member
- Apr 10, 2016
- 994
- 502
Isiruhusiwe Kabisa Tanzania.Yeah, this will be changamoto kwa ukweli.
Another good thing with Uber, it's cheaper.
Isiruhusiwe Kabisa Tanzania.Yeah, this will be changamoto kwa ukweli.
Another good thing with Uber, it's cheaper.
Yeah, this will be changamoto kwa ukweli.
Another good thing with Uber, it's cheaper.
Unajua maana ya background check?
Je kama dereva ni convicted felon? Je kama dereva ana historia ya ubakaji?
Uber watayajuaje hayo?
Nikupe mfano kwa Marekani, kabla mtu hujawa authorized kuwa Uber partner...kuna background check inayofanyika. Wanatumia jina lako, social security number yako, dob, na kadhalika.
Wanacheki kuona kama ushawahi kuwa na felonies zozote zile ambazo zinatoa mwanga wa tabia zako ambazo huenda zikaja kuhatarisha usalama wa abiria.
Kwa Tanzania watawezaje kuyafanya hayo?
Huu ujinga usiruhusiwe kabisa.Sasa wataua soko la tax Za kawaida kama kenya
Kwa Tanzania ndo wamesema itakuwa hivyo? Maana Marekani mtu yoyote mwenye gari anaweza kuwa dereva wa Uber na hahitaji kusajili chochote kuwa yeye ni dereva wa Taxi.Mk
Mkuu ni Taxis tu zilizosajiliwa ndizo zinakuwa zinafanya hii biashara, isipokuwa UBER wanakuwa wanadhibiti mapato kwani mapato yanatozwa kwenye kadi ya mteja anapofanya bookings kupitia debit au credit kadi yake.
Kuna nchini zingine madereva wameruhusiwa kupewa tips na wateja na pia nchi zingine wanatumia mitandao ya simu kufanya malipo kama ule wa MPESA.
Hanna kituDSM baby!
Sasa wabeba box mtatamani kurudi home.
TrueUber ni application ambayo wateja wanaiingiza katika simu zao na kuitumia kufanya bookings za kwenda watakako kwa madereva wa taxis ambao nao wanakuwa wanayo hiyo apps katika simu zao.
Ni dereva yoyote yule mwenye gari ya maana iliyosajiliwa kufanya biashara ya taxi na ana ID card, anaweza kubeba mteja ambae amefanya booking nae.
Wote mteja na dereva wanatakiwa wawe na smartphones.
What about Uber's cousin LIFT, is it American too?
The name sounds like it's originated from Europe.
Kwa Tanzania ndo wamesema itakuwa hivyo? Maana Marekani mtu yoyote mwenye gari anaweza kuwa dereva wa Uber na hahitaji kusajili chochote kuwa yeye ni dereva wa Taxi.
YesNi hivi...kwa mfano mimi ninakuwa na ki Alteza changu.
Halafu nina download Uber partner App kwenye smart phone yangu. Nikishapewa rukhsa na Uber ya kuanza kuendesha, watu ambao nao wamepakua Uber rider App wakiomba niwafuate na kuwapeleka sehemu watakazo kwenda, naenda kuwachukua na kuwapeleka. Hizo Apps ndo zinatuunganisha.
Kwa hiyo, ni huduma ya teksi lakini ambayo inatumia zaidi teknolojia kuunganisha madereva na abiria.
Na madereza wanakuwa wanatumia gari zao ambazo hazina alama yoyote ile kama ambavyo zilivyo teksi.
Na malipo yote ni electronic...yaani hakuna cha kubadilishana pesa taslimu kama ilivyo kwenye teksi.
Rider anapojisaliji anaweka credit au debit card information zake kwenye system na akiomba ride....ride ikija na kukamilika...basi gharama atakuwa charged automatically kupitia card yake.
Ha ha ha! Wewe nawe!Nazo zitakua na barabara zake?
Huu ujinga usiruhusiwe kabisa.
Uber is dangerous cause people have been abducted before here with their drivers. I believe tax is safer than uber.Can you imagine, hii 'think tank' ya chama haijui uber ni kitu gani alafu anasimulia ngonjera za ustawi wa viwanda!!
Nafahamu background checks yani unaangalia kama mtu yumo kwenye sex offenders register, ni paedophile na dangerous criminal.
Kwa Tanzania hiyo ni changamoto kubwa kwani pia kuna madereva wasio na leseni, bima na hata elimu ya kutoa huduma kwa wateja yaani customer service.
Ni kama vile kuingia kichwakichwa kwa jiji kama la dar, ila hakuna more information, au confirmation juu ya habari hii.
Bado twasubiri.
Duh, kweli mkuu Consigliere wazo lako ni fikirishi kwa hakika.Nazo zitakua na barabara zake?
Last I checked Lyft was an American company headquartered in San Francisco, California, United States.....
Ni mtazamo tu nimetoa kuhusu malipo.
Mji gani katika nchi ya Marekani dereva hahitaji kusajili chochote?
Business licence ni lazima na madereva wanakuwa wanajukikana kama independent contractors.