Jamaa ni sio raia wa Tanzania, ni Mwingereza mwenye asili ya Tanzania
Mhhh ndio wana tabia ya kuweka picha za aina hiyo mitandaoni? Au ndio hukanwa?Ukiona hivyo ujuwe ni chadema
Wewe ndiye mpelelezi? Mbona hajahukumiwa kwa kesi hiyo?Huyu ni mzamiaji haramu