Ubalozi wa Tanzania wamzungumzia mtu aliyeweka picha ya maiti mtandaoni

Ubalozi wa Tanzania Nchini Uingereza umesema hauna Taarifa kuwa Mwaikambo kama ni Mtanzania. Mwaikambo alifungwa jela miezi 3 kwa kosa la kupost picha ya maiti aliyeungua katika ajali ya Moto katika jengo refu katika jiji la London.

Mwaikambo alijitetea kuwa alipost picha hizo ili Ndugu wazitambue.

Ila hizi Tabia ni zetu kabisa.
 
kwani hajui huku taifa lipo driving school linajiandaa kupokea noah za bureeeeeeeeeeee,anyway anastahili iyo adhabu
 
Back
Top Bottom