Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,499
- 17,573
Serikali imejua covid ni dhaifu kwenye joto Kali + black people hivyo hakuna mmarekani mwenye akili atakaye kubali kwenda kwao USA maana wamarekani wanajua faida ya joto kwa koronaHivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app