Ubakaji ndani ya Ndoa

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Inakuwaje ndani ya ndoa mtu na mme wake wanabakana?
Kama umesikiliza leo asubuhi BBC kuna sheria mpya inatungwa hapo kwa wakwe Uganda sheria ya ubakaji ndani ya ndoa yaani mmoja akinyimwa basi anaamua kumega kinguvu.
Hii wadau imekaaje mwanaume unammnyima mama chakula chake na mwanamke unamnyima baba chakula chake kwa nini sasa inakuwa hivi?
 
Ukiona watu (wanandoa) wananyimana chakula ujue hapo pana ugomvi kawhiyo kila mtu anahasira na mwenzi wake
 
Ukiona watu (wanandoa) wananyimana chakula ujue hapo pana ugomvi kawhiyo kila mtu anahasira na mwenzi wake

Dah inasikitisha sana inafikia kipindi wengine wanalala tofauti yaani kila mtu na chumba chake.
Sasa si bora waachane tu ieleweke kila mtu awe ana enjoy kivyake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom