DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Dingi bahili noma..
MTOTO: mama nimemwomba baba hela ya kusuka kaninyoa nywele..!
MAMA; unabahati mwanangu ungemwomba hela ya whitedent angekung'oa meno..! Na ubahili wake mimi nilimuomba hela ya pedi akanipa mimba..!!!