Ubaguzi wa makabila katika kuoa

TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,907
2,000
Mbona hamsemi la Wahindi kuoana wenyewe kwa wenyewe. Hataki kabisa ile ngozi kama ya nguruwe tuimiliki sisi waNegro.
 

Joasi

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
705
1,000
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.
Naam nami bila shaka nasisitiza usijaribu kuoa mmachame.yamenikuta mangi nashauri hata awe mzuri na wangu alikuwa mzuri na kiuno cha nyigu na mcheshi na upole sana na she was so positive na mwenye story sana.

Lakini nasisitiza usioe mmachame kabisa.


Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
 

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,842
2,000
Eti huua wanaume wao, na Wala hatujawahi kuona kesi zao mahakamani
Hii kuua ni kweli kabisa mimi ni mchagga wa kibosho nimeshuudia wazee wakisema, kuhusu wanawake wa kimachame kuwa wa jeuri hii ni ukweli kabisa kati ya 10 7 ni wajeuri.
 

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
13,287
2,000
Wanaume huuliwa huko nje bana wanakohangaika Mara michepuko, Mara kudhulumiana na kutapeliana huko Sasa visasi vikitokea mke ndo mhanga baada ya kufa na Mali zenyewe ukute walitafta na mke from zero mpaka wakapata mali, kwanini usipiganie jasho lako na wanao eti kisa kuogopa maneno ya waja
Wewe mbona hueleweki?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,842
2,000
Hiyo audio ni sahihi na kweli


Mara nyingi nasemaga hapa jf, ukitaka kuwa na ndoa ngumu sana katika maisha yako,basi oa mchaga wote ni wapalestina wale. hakuna nafuu ya kusema huyu mmarangu, mkibosho, mmachame sijui wa wapi na wapi wote ni wale wale.

kwa sababu kijinsia ni wanawake lakini kitabia ni zaidi ya mwanaume katili, hawana utii, hawana unyenyekevu, hawana kujishusha, hawana lugha rafiki, hawana muda na malezi ya watoto, na hivi ndivyo mwanaume anavihitaji toka kwa mwanamke yoyote.Zaidi wana kiburi sugu, dharau, wana asili ya kulipa visasi, chuki na ni wachovu sana kiroho.Hata hii ya kutaja taja jina la Mungu, Yesu, Maria mara kwa mara ni kwa sbb za uchovu wa kiimani, wao ni matambiko na uganga uganga basi.Fanya uchuguzi kidogo. Nenda mahakama za mwanzo ulizia madai ya talaka, wao ndio wana ongoza. Nenda kwenye makanisa kama kkkt Ulizia migogoro ya kifamilia iliyopelekwa kwao, wao wanaongoza. Njia nzuri ni wao waoana wao kwa wao, kinyume hapo utapoteza ndoa, utapoteza maisha kwa stress. Wana uwezo mzuri sana wa kumuua mwanaume kisaikolojia, na wengi hawajui hili.


Ni washirika wazuri kwenye biashara lakini si ndoa.na hata kwenye biashara sio wa kuwaamini vile.


Tell the truth, or someone will tell it for you
Unaonekana una chuki KUBWA SANA nawachagga nasikitika ni kwanini mnawachukia wachaga kiasi hiki? Ni mali na akili walizo pewa na Mungu tu au kuna lingine?
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
30,743
2,000
wanajiweza kwa hilo aisee
Mchaga akitaka lake atafanikisha katika namna yeyote ile...Inshort wanajua ku trick ubongo wa mwanaume ili wateke hisia zake kirahisi na kumfanya atekeleze yote wanyotaka. Hilo la ndoa ni dogo mno ndio ile unasikia bwana mchumba wangu yuko freshi sana ila hapo kabla hajavaa shela akishavaa tu maisha ya pamoja yakaanza hamna rangi utaacha kuona.

Aunt yangu ni mwana socialogy na mtu wa gender anawajua vyema huwa ananisimuliaga tabia zao hao watu. Anasema ni toka kwao wanapewaga maelekezo jinsi ya kum treat mwanaume ili aingie kwenye 18. Wana uwezo hata wa kupora wanaume za watu.😂😂😂 Hizo ni skills ambazo wanawake wengine hawana.
 

Vi rendra

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
2,715
2,000
kwakweli hao wanaowafundisha wanajiweza
Mchaga akitaka lake atafanikisha katika namna yeyote ile...Inshort wanajua ku trick ubongo wa mwanaume ili wateke hisia zake kirahisi na kumfanya atekeleze yote wanyotaka.

Aunt yangu ni mwana socialogy na mtu wa gender anawajua vyema huwa ananisimuliaga tabia zao hao watu. Anasema ni toka kwao wanapewaga maelekezo jinsi ya kum treat mwanaume ili aingie kwenye 18. Wana uwezo hata wa kupora wanaume za watu. Hizo ni skills ambazo wanawake wengine hawana.
kwaweli wengine hatuna hata skill moja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom