Ubaguzi wa kidini umebainika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaguzi wa kidini umebainika

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Etairo, Jun 8, 2012.

 1. E

  Etairo JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nachukua fursa hii kuwahabarisha wana wa adamu hususani wakristo kuwa yaliyobainika NECTA kupitia matokeo ya somo la IslamicKnowledge kwa kidato cha sita ni dalili tosha kuwa yaliyodaiwa na waislam kwa muda mrefu ni sahihi kabisa. Kuna dhuluma ya kidini. Iwapo tunashawishika kukubali kuwa kikokoteo (calculator) ya kawaida inatoa majibu tofauti na ile ya kompyuta, basi hatuna madaktari isipokuwa ni feki. Dr. Ndalichako (NECTA) na Kawambwa (WyEMU) wanaoona kilichosabbaisha hayo ni matumizi ya vifaa hivyo viwili, je kipi ni sahihi kutumika? Iweje mpaka leo kwa idadi kubwa ya wanafunzi tutumie calculator kujumulisha alama za wanafunzi ilihali excel ipo kwenye kompyuta kurahisisha hayo.
  Umefika wakati tuacha kudaganya mchana kweupe kana kwamba hakuna watu wanaojua matumizi ya vifaa hivyo. Ulimwengu wa JK Nyerere umepita wa kudanganya wengine.

  Ikiwa kweli NECTA imegundua makosa kwenye somo hilo kwa nini haikutamka kuomba radhi na kuujulisha umma kuhusu dosari hiyo mpaka wasubiri waislam watamke kuandamana?

  Nchi hii ni yetu sote, tunatakiwa tuishi kwa wema kabisa, lkn hali hii ikiendelea uvumilivu utawashinda watu na kuanza kutafuta mchawi, Hebu acheni, tendeni haki na matokeo yake ni amani sahihi.
  Ili liwe fundisho, mengine ya dhuluma yanayofanyika yaachwe ili kujenga jamii yenye ustawi sawa ambapo kila mwenye kujitahidi ataona manufaa yake, na si vinginevyo:angry::angry::clap2:
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wewe ulifanya huo mtihani?? Mbona waliofanya pamoja na walimu wao walikwishaelewa na wameshamalizana siku nyingi?? Vilaza wa nchii hii shida sana kudeal nao.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Swadakta!
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Wewe una lako and you are a fundamentalist Moslem, I can guess! Sababu zilizotolewa siyo hizo unazozisema, it was not a mathematical calculator against a computer mathematical programme. dadisi zaidi utapata ukweli.
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  Dr. Kawamba anasemaje kuhusu hilo?
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  Na ubaguzi gani wa kidini unaoongelea?
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sijui mkimaliza hili mtahamia wapi au ndo mtaanza kujilipua wenyewe??
   
 8. j

  joely JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  naomba kujua kama mtu asipofaulu vizuri masomo yake ya combination , ila akapata "a" ya dini anaweza kwenda chuo kikukuu kwa mgongo wa dini?
   
 9. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hili suala ni critical - taasisi nyeti kama NECTA haitakiwi kufanya makosa hasa kama haya - Inakuwaje kama ni mitihani mingine mambo yalikuwa hivi.
   
 10. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nadhani dhumuni lake ni kuwapa taarifa wana jamii!! couse siyo wote wanaojua kuhusiana na suala hili!

  So stop crushing him, na pia nyinyi kama munajua hizo sababu ni vyema mukazifahamisha hapa kwenye jukwaa, na siyo kusemana wenyewe kwa wenyewe!! hii ni sehemu ya kupata taarifa na kueleweshana na cyo sehemu ya mabishano!!
   
 11. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kULIA LIA KAMA BINTI MACHOZI
   
 12. a

  adolay JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Kinachoendelea ni chokochoko ilimradi ionekane imani fulani haitendewi haki.

  Ni mara ngapi tunashuhudia madreva barabarani wakifanyiana makosa kwa bahati mbaya wakaomabana msamaha yakaisha.

  Ni marangapi wazazi (baba na mama) hukoseana kwa bahati mbaya na wakaelewana.

  Ni wizara ngapi hufanya makosa ya bahati mbaya, wakajieleza na yakaisha.

  Ni wanafunzi wangapi hufeli mitihani yao ya F4 au F5 au university wakapewa nafasi ya kuirudia na wakafaulu yakaisha.

  Ni mara ngapi hata katika mapishi nyumbani mama hukosea chunvi ikazidi akatoa maelezo na akaeleweka.

  Ni mara ngapi........, Nimarangapi..........ni mara ngapi.......NI MARA NYINGI SANA.

  Hata wewe ulietoa maada hii hujawi kosea nakama ndio ni mara ngapi......... Na wamekusahe yakaisha!!!!!


  Tuwe wanyenyekevu na wenye kuelewa. kuendeleza chokochoko kwa kupotosha umma ni matatizo ya kifikra, watu wakuelewe wewe unaipenda sana dini? au unawapenda sana waliopatwa na matatizo au............Toa mawazo mbadala ya kuboresha mfumo na sio kuchochea matatizo zaidi na zaidi.

  Ningetaraji utumie uelewa wako kulete upatanisho katika jamii na sio kuleta hoja za kusambalatisha watanzania sometime tuwe wazalendo.
   
 13. b

  bumes Senior Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hukumsikia waziri wa elimu Mr Kawambwa alifafanua jana, mbona watu wegine vichwa vigumu kuelewa, sio kosa lote
  likitokea mnaagalia kwaudini.

  DINI LOLOTE HALITAOKOA MTU, AMKENI. SIOKUFATA MKUMBO TU.
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ndiyo maana ninawashangaa waislamu kwa nini wanamshupalia Ndalichako peke yake na wanamwacha Kawambwa, huo nao ni ubaguzi wa kidini
   
 15. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sijaelewa tatizo ni ubaguzi au ni usahihishaji mbaya au ni kujumlisha vibaya.? Kama ni ubaguzi kwani nani anasahihisha mtihani wa dini? Kama usahihishaji mbaya basi tatizo ni la wote waliofanya mtihani walalamike si waislamu tu na kamaujumlishaji mbaya wa maksi basi warudie kujumlisha mitihani yote na si ya waislamu tu.Inaonesha viombo vitumiwavyo vimepitwa na wakati,basi kwa vifaa vya kisasa warudie mitihani yote kuhakiki.
   
 16. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  UnastailiBUN KWA KUCHOCHEA UDINI, WAHUSIKA WAMEPEWA TAARIFA NA KURIDHIKA LAKINI WACHOCHEZI KAMA WEWE NDO MNAONA NI UPENYO WA KUINGIZA ITIKADI ZA UDINI, WAISLAM WA UKWELI HAWAKO HIVYO. TENA ISHIA HAPA USILETE UDINI KABISAAA NCHI HII HAINA DINI WALA KABILA. USITUCHAFULIE NCHI YETU
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nae siaondoke hapo anangangania nini sasa watu hawakutaki ondoka.Madaraka haya yataua mtu
   
 18. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Kwa upande wangu nafikiri Dr Ndalichako angeondoka tu pale NECTA akafanye kazi zingine..na apewe Moslem kama mnavyodai ili kuondoa fedheha(Waziri Muslim and Pamoja na katibu wa NECTA) tuone kama hamjaanza kutafuta sababu nyingine ya kufanya vurugu. Maana Watanzania wanawazia mambo ya ajabu sana. Just imagine kufeli kwa Waislamu kunawezaje kumfaidisha Dr Ndalichako...yaani bado sijapata jibu la sahihi tena wengine wasomi wanakuwa na mawazo finyi namna hii..
   
 19. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kila jambo lina mwisho wake kaka. .....ucjari ....... ENJOY WHILE IT LASTS
   
 20. o

  obseva JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 80
  Nafikri sio vema kulaumu dini yoyote, hili ni swala la taasisi yenyewe na ambayo kimantiki ni kosa kubwa cna kwa NECTA kukosea matokeo ya mtihaniwa. Na hatutakiwi hata kidogo kushabikia makosa yanayapofanywa na Taasisi muhimu kama hii, jambo la msingi ni NECTA kufanya marekebisho yote sahihi na kuangali kwa kina kama kulikuwa na uzembe wowote basi wahusika wawajibike kwa maslahi na imani ya Taasisi.
   
Loading...