Ndugu watanzania,
Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu ili tusome. Lakini cha kushanganza sisi wanafunzi wa masomo ya Arti kama Community Development tunanyimwa mikopo ingawa hata wazazi wetu waliotusomesha secondari na diploma wameishafariki dunia.
Je ahadi ya ccm ilikuwa inamaana gani? Je maendeleo yanaletwa na wanascience tu. Hii si haki kwani sote tunamchango katika nchi yetu.
Ombi langu ni kwa serikali kubatilisha mfumo wa ubaguzi katika kutoa mikopo ili waote tupate elimu ya kutusiadia maisha yetu.
Asanteni