ubaguzi; john terry,david beckham vs ashley cole,tiger wood | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ubaguzi; john terry,david beckham vs ashley cole,tiger wood

Discussion in 'Sports' started by bona, Mar 5, 2010.

 1. bona

  bona JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,794
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  nimekua nikifuatilia matukio ya wanandinga tajwa hapo juu ktk matukio ya kuwasaliti wake zao, ila kuna jambo moja limenishangaza kwani nimeona kuna element za ubaguzi mkubwa.

  ni kweli kumsaliti mkeo si kitendo kizuri lakini treatment walizopewa ayo makundi mawili hapo juu inashangaza jinsi ilivyo ya kibaguzi. pia kucheat ni kucheat mtu atakua mpuuzi akidai kua aliyecheat kwa mwanamke mmoja au wawili ana afadhali kwa yule aliyecheat kwa wanawake watano.

  john terry alipewa sapoti kubwa na waingereza kiasi cha kwamba ndani ya wiki moja matatizo yake na mkewe yakaisha, beckham alipewa sapoti kubwa kiasi cha kwamba wakamaliza matatizo na mkewe kwa mda mfupi, wake zao hawakuama nyumba, hawakudai waume zao waende clinic za kujitibia dhidi ya matendo ya kupenda ngono.

  wana JF kweli hapa hakuna dalili za ubaguzi kati ya wazungi na black? to me this is clear double standard!
  ashley cole na tiger wood ambao ni black relatively, wamekua cursed na kila mtu kwa tabia zao, wadhamini wamewakimbia wakati kwa kina beckham na terry haikua ivyo,wake zao wamehama nyumba na wanatembea mitaani bila pete za ndoa, wote wanatishia kudai divorce, wanapata sapoti kubwa na media pia, na pia wanatakiwa waende clinic ya kutibiwa magonjwa ya kupenda ngono
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Usitumni race card kuhalalisha mambu haya ya sportsman.
  -John Terry amekuwa punished ,kwa kuvuliwa ucaptaincy wa England,na anazomewa kila mechi anayocheza.Amecheat kwa mwanamke mmoja tu
  -David Beckham the same,hakuwa na string of lovers.
  -Ashley Cole-Huyu tabia zake sio nzuri kabisa.Ameshikwa speeding,amemcheat wife wake mara kadhaa,hata alitapika kwa malaya ,altitude yake uwanjani sio nzuri(heshima kwa referees),aliandika bio mbaya baada ya kuondoka Arsenal etc.
  -Tiger Woods-ha ha kwanza huyu alijifanya family man.Na akaweka image kuwa yeye ni family man,hata endorsement nyingi zilikuwa hivyo.Hata mimi nilimpenda kwa hilo,ukilinganisha na NFL,Basketballers jinsi wanavyobehave .Huwezi ukalala na malaya 10 na zaidi huku umeoa.Inaonekana hata wa akina PDiddy,Snoopy wanabehave kwenye sex kuliko Tiger!

  True Wazungu ni jelous for any successful black man,lakini media huwa inaandika kwa mtu yoyote hasa kwenye hizi scandal.Free media ndio hivyo.
  Usitumie race kuhalalisha kucheat!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...