Hata wangesema tunataka shehe kama kigezo wangempata wapi. kwa kweli sijawahi kuona shehe mwenye degree ktk elim dunia. yaani mwenye degree ya science au hata humanity yoyote. mpaka nahisi ili uwe shehe lazima usiwe msomi.
Rejea maneno ya Mwl Nyerere kuhusu dhambi ya ubaguzi. Na bado yatatoka mpaka matangazo ya kazi yanayowahitaji wenye mwanya peke yao. dhambi ya ubaguzi inatutafuna.
Sasa mnalalamika nini, tangazo wametoa kwenye radio yao kwa vigezo wanavyotaka wao. Sasa wewe kama siyo Msabato unataka ufanyekazi kwenye Kanisa la Wasabato? Tafuta kazi sehemu nyingine, acha kulalama.