utakoma pale viongozi wako wa chadema watakapoacha kuendekeza hivyo vituLeo nilikuwa nasikiliza redio ya Morning Star nikasikia tangazo hili la nafasi ya kazi ambalo limenishangaza sana:
1. Mwombaji awe ni muumini wa kanisa la Waadiventista wa Sabato (SDA) na aweze kuthibitisha hilo kwa maandishi.
2. Mwombaji awe ni mwenyeji wa Kanda ya Ziwa na hilo lithibitike kwenye cheti chake cha kuzaliwa.
3. Mwombaji awe na shahada ya kwanza ya uboharia (Material Management). Mwenye shahada ya pili ana uwezekano mkubwa wa kuajiriwa.
Kumbe bado kuna ubaguzi mkubwa wa kidini, kikabila na kikanda katika ajira nchini Tanzania? Ni lini hasa huu ubaguzi utakoma?
Hapo umenena....nijuavyo "material managemet" inahusiana na utunzaji vitu mbalimbali, (storekeeper)' basi yawezeka wakawa wanahitaji mtu wa kutunza Vitu vya kanisa (biblia n.k) ndani ya kanisa lao.
...na kuhusu kigezo cha awe anatoka kanda ya ziwa yawezeka sehemu kufanyia kazi ni huko kanda yz ziwa.
Hapo umenena.
Hata wangesema tunataka shehe kama kigezo wangempata wapi. kwa kweli sijawahi kuona shehe mwenye degree ktk elim dunia. yaani mwenye degree ya science au hata humanity yoyote. mpaka nahisi ili uwe shehe lazima usiwe msomi.
Waislam hakuna wanalolijua zaidi ya ngono,bange,viroba,kuoa under age,ufreemason(ugaidi).akiajiriwa na kanisa,kanisa liandae na klinic ya mama na mtoto,mateja kote huku kisa nn.Endeleeni kuandika makoroani kwenye makaratasi,kufunikiza ubani na kupiga madunguso muwapee wagonjwa wenu ..were are clean and smart as our Lord
aliyekupa data kakupoteza. fanya utafiti mkuu
...nijuavyo "material managemet" inahusiana na utunzaji vitu mbalimbali, (storekeeper)' basi yawezeka wakawa wanahitaji mtu wa kutunza Vitu vya kanisa (biblia n.k) ndani ya kanisa lao.
...na kuhusu kigezo cha awe anatoka kanda ya ziwa yawezeka sehemu kufanyia kazi ni huko kanda yz ziwa.
Viroba unaingia navyo hadi kanisani mkuu?? Acha bangi hizo, au tuanze kushambuliana?? Mbona nyie mnapewa pombe(divai) kanisani sie hatupigi kelele, kuwa mstaarabu mkuu!!
mkuu nilichoandika ninaushaidi nacho.Nimeshuhudia binti wa 15 akiolewa na 45 hata mhohamed alikuwa 25yrs akaoa40yrs.Al-shabaab,boko haram,alqueda wote ni waislam.hapa mtaani wanaovuta bange wengi ni waislam.zaidi kuna shekhe unampa elfu 10 ..ehee bac isije nikawa na weka siri za watu hapa wakatuma ma-jini yao nisilione jua la kesho.kwa kifupi what written stay written
Waislam hakuna wanalolijua zaidi ya ngono,bange,viroba,kuoa under age,ufreemason(ugaidi).akiajiriwa na kanisa,kanisa liandae na klinic ya mama na mtoto,mateja kote huku kisa nn.Endeleeni kuandika makoroani kwenye makaratasi,kufunikiza ubani na kupiga madunguso muwapee wagonjwa wenu ..were are clean and smart as our Lord
Duh hii level nyingine.....
mkuu nilichoandika ninaushaidi nacho.Nimeshuhudia binti wa 15 akiolewa na 45 hata mhohamed alikuwa 25yrs akaoa40yrs.Al-shabaab,boko haram,alqueda wote ni waislam.hapa mtaani wanaovuta bange wengi ni waislam.zaidi kuna shekhe unampa elfu 10 ..ehee bac isije nikawa na weka siri za watu hapa wakatuma ma-jini yao nisilione jua la kesho.kwa kifupi what written stay written
Hayo masharti yao magumu wengi wao hawafwati coz mwanamke wa kisabato hatakiwi kusuka,wala kutoga maskio,kwa dunia hii nani ataweza hahaaa,katoliki tupo free,yapo masharti kakini si ya kihivyo!Wasabato hawanywi coca cola,hawavuti sigara,hawali nguruwe sijui ukristo una biblia aina ngapi maana hivyo vyote kwa wakatoliki ruksa
Yupo Azam tv
Kumbuka hii ni taasisi ya kidini pengine wameweka sharti hilo kuweza kukidhi mahitajio ya kisabato.